Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Hata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
Haha Kuna mdada nlimpiga chini so akawa anaview kisirisiri ebwane muda mwingine anajisahau anakomenti kabisa ko nikamgundua anaview kisirisiri tabu yote ya nn Sasa
 
Hebu nifokee vizuri mkuu sijakuelewa

Settings << Account << Privacy << Turn off Read receipts. Hatuweza kuona kama umeView
IMG_6421.JPG
 
Mbona rahisi tu. Unaenda 'privacy' halafu unaweka 'read receipts' off
 
1. Screenshot then zoom.

2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.

We will make a millions and millions.
Hiyo hutokea pale unapomkubali mtu gizani lakini hadharani hutaki kukiri kwamba unamkubali! Matokeo yake ndo hayo... akitupia kitu kwenye status yake unatamani kukicheki lakini hutaki ajue kumbe umeshoboka na status yake!!!

Jombaa, angalia tu kwa kujinafasi na kama umekubali, toa appreciation... simple like that!!
 
Hata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
Hasara ya iyo utakua umetoa blue tick kama message yako ikisomwa hutajua na anaekutumia text hatojua kama umesoma text yake
 
Hiyo hutokea pale unapomkubali mtu gizani lakini hadharani hutaki kukiri kwamba unamkubali! Matokeo yake ndo hayo... akitupia kitu kwenye status yake unatamani kukicheki lakini hutaki ajue kumbe umeshoboka na status yake!!!

Jombaa, angalia tu kwa kujinafasi na kama umekubali, toa appreciation... simple like that!!
Chige
 
Back
Top Bottom