Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Ndivyo ilivyo..stem ya 'kipipi' haitaji any disturbance kwa brain.Ubaya wa majani pombe inakukataa maisha yako yote. Nilivuta ganja nikashangaa hata bia 3 siwezi kunywa wakati nilikuwa namaliza kreti kwa siku
Nilijaribu kaka lakini ilikua inanichanganya nikashindwa kutumia nilijaribu Kama Mara 5 iv inanifanya nipoteze kumbukumbu yan nikiitumia bas nicwe na kaz yoyote nishnde nmelala na nanyongonyea sanaMbona simpo tu..
Anza kutumia bangi then fegi unaipotezea taratibu huku ukiendelea kula mjani...
hakuna kitu kibaya Kama kuishi kwa matumaini hayo mawazo yananisumbua sanani mwaka wa 13 saiv nimeshindwa kuacha mkuu
na ndio naona itakuwa sabab ya kifo chang
sigara noma kaka
NB: nimekwambia uanze kutumia bangi kwa maana mazingira ya kuacha bangi ni rahisi zaidi kuliko hayo masigara!
Kichwa na kichwa ,mtu na mtu.Wewe umeacha kuvuta mjani??!!, sio bure unataka kumtosa mwenzako mazima (total destruction). Bangi sio mchezo kama ubongo wako ni weak basi utapata uchizi within no time.
Ninao mfano hai kwa dogo mmoja wa karibu yangu he is now a damn mad kwa ajili ya hiyo kitu "cali weed".
Kichwa na kichwa ,mtu na mtu.
Ajaribu ataona mafanikio!
Pole Sana ofsa.nilijaribu kaka lkn ilikua inanichanganya nikashindwa kutumia nilijaribu Kama Mara 5 iv inanifanya nipoteze kumbukumbu yan nikiitumia bas nicwe na kaz yoyote nishnde nmelala na nanyongonyea sana
Mshirikishe Mungu katika maamuzi..yako acha kwania huku ukimuomba Mungu akupe nguvu ya kushinda katika hili... Mimi hi Ndo imenisaidia.habari wanajamvi Mimi ni kijana mtumishi katika kada ya afya miaka 6 ilopita niilingia ktk matumizi ya pombe na sigara kimasihara tu(peer pressure) though athari zake nazitambua ilifika mda nikakubuu sikuipenda ile hali coz ilibadilisha life style yangu nilianza mkakati wa kupambana kuviacha nashukur mungu pombe niliiacha totally japo ckutumia nguvu Sana upande wa sigara nmetumia gharama Sana ili niache nimetumia dawa mbali mbali na mbinu mbalimbali nazoshauliwa lakini cjaweza kabisa tafadhali jamani naombeni msaada wenu Kama Kuna aliye liweza hili anipe msaada.!
N.B swala la kupunguza kidogo kidogo ni uongo nahitaji dawa ya kucha on point.
Hata Mimi nilivuta bangi... Nikapoteza kazi na kila kitu...nikachanganyikiwa nikarudi home ... Pona yangu Ni mirembe ambapo natumia Dawa Hadi hii leo.. lakini Nashukuru Mungu nafanya kazi na sijachanganyikiwa huu mwaka wa pili...
Bangi sio ya kumshauri mtu.