Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Hakuna kitu kigumu kuacha kma fegi unawezaje ukaachz pombe ila hiyo kitu iache tu mkuu
 
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.
 
Aise jitahidi uache...masigara yanawashushaga sana thamani hamjijui tu
Mtu anayesmoke ni mhuni kama wahuni wengine
 
ili kuacha unatakiwa we mwenyewe uamue kwenye mind yako..hakuna dawa ya kumeza ili uache hizo sigara
 
Maamuzi mkuu...ukiamua unaacha
 
Sigara ni hatari kwa afya yako, ukilijua hilo utaacha bila hata kuambiwa
 
Sigara ni hatari kwa afya yako, ukilijua hilo utaacha bila hata kuambiwa
Kila kitu ni hatari kwa Afya yako kama utazidisha,unakuta mtu anaunguza maini yake kwa pombe kali halafu anampa ushauri mvuta Sigara kua Sigara ni hatari! unakuta mtu ananunua malaya bila kuogopa Ukimwi halafu anampa ushauri mvuta Sigara kua Sigara ni hatari!
 
Uliyoyataja hapo yote siyafanyi...
Ameomba msaada kuhusu sigara, sasa sjui mambo ya ukimwi yanahusiana vipi hapa
 
Uliyoyataja hapo yote siyafanyi...
Ameomba msaada kuhusu sigara, sasa sjui mambo ya ukimwi yanahusiana vipi hapa
Hiyo comment nimeiandika in general sio kwamba namaanisha unayafanya wewe japo nimequote comment yako,
Have a good day buddy.
 
Hata mimi nimeona but for me i wish to quit
 
Bangi ukivuta mara 1 tu kwasiku unakua huvuti tena, kuna watu wanavuta bangi tu but hawavuti sigara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…