Jinsi ya kuandika research

Jinsi ya kuandika research

Cha kwanza anatakiwa achague topic ambayo 1*itamuwia urahisi kuwapata respondents
2*respondents watakuwa huru kutoa michango yao bila hofu wala hisia za unyanyapaa
3*isiwe inaleta mgongano wa moja kwa moja na taasisi husika au mamlaka.. hii itampa wepesi kwenye kupata vibali vya utafiti na ruhusa
4* iwe realistic
ZIADA: AWE MJANJA KUCHAGUA TOPIC AMBAYO HATA AKIMALIZA CHUO KUNA MAENEO AKIENDA KUOMBA KAZI AKIONESHA ENEO ALILOTAFITI NA AINA YA UTAFITI ALIOFANYA ITAMPA FAIDA YA KUFIKIRIWA ZAIDI..
......
**JAMBO LA PILI*
inatakiwa a'set title yake iwe inaonesha wazi variables ambazo ni
... *independent-intermediate-dependent variables* (vipimo vyenye kuonyesha uhusiano/usababishi wa kimatokeo kati ya jambo na jambo)
mfano "huduma za hospitali na matokeo ya tiba"... hapa itakuwa variable huru ni huduma za hospitali (huduma zote) variable ya kati yaweza kuwa (muundo wa sera ya afya, utoaji wa vifaa tiba, hali ya majengo na mazingira ya hospitali n.k) variable tegemezi itakuwa matokeo ya tiba (yawe mazuri, ya wastani au mabaya).......
...
**JAMBO LA TATU**
anatakiwa atambue lengo la utafiti ni kutaka kuoima nini.. NA TITLE ISIWE IMESHAJIBU UTAFITI WENYEWE
...
**JAMBO LA NNE**
Title ya tafiti yake isiwe ndefu yenye kuchosha kusoma na iwe yenye kueleweka moja kwa moja (wastani wa maneno 15 ni mzuri)
MFANO
"negative perceptions of many patients towards medical health personel"
Kwa maoni yangu ingefupishwa
"Patient's perception on medical health personnel in government hospitals" utaongezea study case . Au unaweza kutoa hiloneno ON ikawa TOWARDS
...
MASWALI YA KUJIULIZA KWENYE HIYO TITLE.
1. Amejihakikishiaje kama kuna negative perception ya patients tena kuwaelekea wahudumu wa afya? Je kuna utafiti umeshasema hayo?... ana enough literature sources to review ili a'support argument hii?..
2. je sio ndefu sana
3. Je atapata access kirahisi kuwafikia wahojiwa wake? Je atawapata hospitali au uraiani? (Vibali na ruhusa hautomoa urasimu?)
4 . Variable zinapimika? Lengo la utafiti ni kupima nini?
.....
ASITISHIKE NA MANENO MENGI..
Anaweza kuitwist kidogo ikaleta maana
Au akabadili (title huwa zinabadilika tunasema hatufungi ndoa na title za research.. any time unabadili unakamata inayofanyika)
U nailed it Van Medy .....Be blessed mkuu kwa hizi nondo ...Ningekurushia japo vocha sema boom halijatema .
 
Ndio maana kwenye research mwanafunzi anapewa supervisor.. na hazuiwi kudadisi kwingineko.. hapa haandikiwi tafiti anakusanya mawazo ya awali.. *na inatambulika hii..*..
Sasa kwenye data collection akisema kaajiri research assistants utasema kafanyiwa wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
Kauliza swali la kawaida tukimnyima hapa hata akigoogle atapata mkuu
Ww jamaa ni kichwa sana aisee ....Typically GT !!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kijana naoana kesho shem atakoma najua unaandika summary
[emoji2] [emoji3] [emoji2] ...hizi ndio sehem za kujiongezea marks ...nikiwa NA machief design yenu hakuna kinachoharibika as far research is concerned ....thanx mkuu Lyon Lee kwa mchango wako pia ....

long live jf .
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji2] [emoji3] [emoji2] ...hizi ndio sehem za kujiongezea marks ...nikiwa NA machief design yenu hakuna kinachoharibika as far research is concerned ....thanx mkuu Lyon Lee kwa mchango wako pia ....

long live jf .
Kijana angalia bumu mtumie lote wote yaan lako na yeye sio kukupiga vibumu...najua kazi kubwa unayo sasa wewe waendekeze hawa utaishia kumuandikia research wenzio wanabembea
 
Kama uko dar.. fanya mpango tuchekiane nikupe soft copy ya vitabu kadhaa vya tafiti vitasaidia na tutapeana miongozo kidogo utakapohitaji msaada.

FREE OF CHARGE NDUGU..sitaki hata kumi yako..
Niko nje ya Dar mkuu kama hutojali unaweza nitumie kwenye e mail .
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kama uko dar.. fanya mpango tuchekiane nikupe soft copy ya vitabu kadhaa vya tafiti vitasaidia na tutapeana miongozo kidogo utakapohitaji msaada.

FREE OF CHARGE NDUGU..sitaki hata kumi yako..
Linamtafutia demu wake ata huyu tunayemhangaikia haijui research ata defn[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Title owe. Perception of patient towards medical health personnel in govt hospital in Tanzania. Ukiweka Neno negative unakuwa bias. Na many utakosa cha kudefend kwenye research gap
Kwa nini tusiweke... Medical health personnel as perceived by patient.. A case of (Mwananyamala/Muhimbili/Kibamba/iringa/ hospital)... Mana ukiacha iwe gvt hosp ni ngumu mana hospital za serikali n nyingi so lazm uwe specific unataka kufanya hospital gani..
 
Tuwekee picha ya shem mkuu kama hutojali
d6b641d14ff2908e0a145ec85486a533.jpg
huyo hapo mkuu .....utaacha ku hustle hata kama ungekuwa ww?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwa nini tusiweke... Medical health personnel as perceived by patient.. A case of (Mwananyamala/Muhimbili/Kibamba/iringa/ hospital)... Mana ukiacha iwe gvt hosp ni ngumu mana hospital za serikali n nyingi so lazm uwe specific unataka kufanya hospital gani..
Mkwanjuni plse!!!!
 
Back
Top Bottom