Cha kwanza anatakiwa achague topic ambayo 1*itamuwia urahisi kuwapata respondents
2*respondents watakuwa huru kutoa michango yao bila hofu wala hisia za unyanyapaa
3*isiwe inaleta mgongano wa moja kwa moja na taasisi husika au mamlaka.. hii itampa wepesi kwenye kupata vibali vya utafiti na ruhusa
4* iwe realistic
ZIADA: AWE MJANJA KUCHAGUA TOPIC AMBAYO HATA AKIMALIZA CHUO KUNA MAENEO AKIENDA KUOMBA KAZI AKIONESHA ENEO ALILOTAFITI NA AINA YA UTAFITI ALIOFANYA ITAMPA FAIDA YA KUFIKIRIWA ZAIDI..
......
**JAMBO LA PILI*
inatakiwa a'set title yake iwe inaonesha wazi variables ambazo ni
... *independent-intermediate-dependent variables* (vipimo vyenye kuonyesha uhusiano/usababishi wa kimatokeo kati ya jambo na jambo)
mfano "huduma za hospitali na matokeo ya tiba"... hapa itakuwa variable huru ni huduma za hospitali (huduma zote) variable ya kati yaweza kuwa (muundo wa sera ya afya, utoaji wa vifaa tiba, hali ya majengo na mazingira ya hospitali n.k) variable tegemezi itakuwa matokeo ya tiba (yawe mazuri, ya wastani au mabaya).......
...
**JAMBO LA TATU**
anatakiwa atambue lengo la utafiti ni kutaka kuoima nini.. NA TITLE ISIWE IMESHAJIBU UTAFITI WENYEWE
...
**JAMBO LA NNE**
Title ya tafiti yake isiwe ndefu yenye kuchosha kusoma na iwe yenye kueleweka moja kwa moja (wastani wa maneno 15 ni mzuri)
MFANO
"negative perceptions of many patients towards medical health personel"
Kwa maoni yangu ingefupishwa
"Patient's perception on medical health personnel in government hospitals" utaongezea study case . Au unaweza kutoa hiloneno ON ikawa TOWARDS
...
MASWALI YA KUJIULIZA KWENYE HIYO TITLE.
1. Amejihakikishiaje kama kuna negative perception ya patients tena kuwaelekea wahudumu wa afya? Je kuna utafiti umeshasema hayo?... ana enough literature sources to review ili a'support argument hii?..
2. je sio ndefu sana
3. Je atapata access kirahisi kuwafikia wahojiwa wake? Je atawapata hospitali au uraiani? (Vibali na ruhusa hautomoa urasimu?)
4 . Variable zinapimika? Lengo la utafiti ni kupima nini?
.....
ASITISHIKE NA MANENO MENGI..
Anaweza kuitwist kidogo ikaleta maana
Au akabadili (title huwa zinabadilika tunasema hatufungi ndoa na title za research.. any time unabadili unakamata inayofanyika)