Jinsi ya kuandika research

Mbona topic ni ndefu sana kwan asichague topic fupi nyepes kwa mfano prevalence of malaria in pregnant woman in mbeya in July 2017
 
Mbona topic ni ndefu sana kwan asichague topic fupi nyepes kwa mfano prevalence of malaria in pregnant woman in mbeya in July 2017
Ndio lengo la kuleta humu mkuu ili nipate shule zaid ....nahic imekaa vizur
 
Nione FASTA nikuandalie KILA KITU kwa bei cheap SANA. Aandae Tshs 200,000/- Tu
 
Nione FASTA nikuandalie KILA KITU kwa bei cheap SANA. Aandae Tshs 200,000/- Tu
Pitia comments za ma chief hapo juu ....wametema shule ya kutosha tu NA hawajadai hata senti ...hao hata sasa wakisema wachaji pesa mtu unashawishika kutoa kwa kuwa wameshakuonyesha kwsmba wanajua
 
Pitia comments za ma chief hapo juu ....wametoa shule ya kutosha tu NA hawajadai hata senti ...hao hata sasa wakisema wachaji pesa mtu unashawishika kutoa kwa kuwa wameshakuonyesha kwsmba wanajua
Mkuu achana naye huyo wewe si umeona hiyo profile pic yake amemuweka nani.

Ila shemela ana chura mzeeπŸ˜€πŸ˜€(jokes)
 
vanmedy ,

Mkuu, heshima yako.
Hapa hata nami nitamleta Binti yangu umpe shule ya research .

Angalizo, usije ukamfundisha hadi na tuition tuition , tuition.
 
Nadhan Hii ni wewe na sio ndugu yako anyway zingatia taratibu zote za uandishi WA research report lakini lazma uwe na proposal ambayo itakuongoza
 
Angalia miluzi mingi humpoteza ...........Naamini huko chuoni kuna watu wa kumuongoza toka topic selection hadi mwisho. Waachieni wahusika wafanye kazi yao.
 
Mkuu achana naye huyo wewe si umeona hiyo profile pic yake amemuweka nani.

Ila shemela ana chura mzeeπŸ˜€πŸ˜€(jokes)
Vyuma vimekaza akijumlisha NA stress za Mzee Wenger siku c nying atakuwa kama Dkt Luis Shika wa nyumba za Lugumi.....Chura ndio ugonjwa wangu mkuu .
Mkuu achana naye huyo wewe si umeona hiyo profile pic yake amemuweka nani.

Ila shemela ana chura mzeeπŸ˜€πŸ˜€(jokes)
 
vanmedy ,

Mkuu, heshima yako.
Hapa hata nami nitamleta Binti yangu umpe shule ya research .

Angalizo, usije ukamfundisha hadi na tuition tuition , tuition.
Jamaa anajua sana mkuu ....Alafu watu wengi walio nondo huwa hawanaga mbwembwe nyng .
 
Title ndefu kama notes, Mkuu proposa itakusumbua sana utarudishwa mpaka basi, pia angalia hiyo topic yako ina ongozwa na Theory ipi, na Theory hiyo ipo?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Angalia miluzi mingi humpoteza ...........Naamini huko chuoni kuna watu wa kumuongoza toka topic selection hadi mwisho. Waachieni wahusika wafanye kazi yao.
Hawa viumbe wakiwa na shida zao jaribu kuwasikiliza mkuu, kama uwezo wa kumsadia shida yake unao bas msaidie tu NA kama huwez just mueleze tu ......Sijaona ugumu wa kuja jf kuuliza ukizangatia na mm ni mwanafunz pia maana huwa naamin Jf ni chuo kinachotembea
 
Inaonesha tayar anajua problem, negative perception. Hili neno sidhan kama lilihitajika sana
 
Nime ku PM
 
Kaka ni kweli ni jambo LA kawaida kuuliza
 
Unawezaje kuandika research ambayo hujaifanya .Ninavyojua Kwanza anatakiwa aanze na research proposal. Halafu mbona vinafundishwa vyuoni? MSAADA!!! ATAFUTE HICHO KITABU ASOME ATAELEWA NDIO AJE HUKU KAMA KUNA AMBIGUITY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…