Jinsi ya kuandika research

Jinsi ya kuandika research

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Nina ndugu yuko anachukua Clinical officer(3rd yr) ...Wameambiwa wachague topic yyte ambayo wangependa kuifanyia research ....Yy amechagua. " negative perception of many patients towards medical health personnel in govt hospital"...sasa ninachohitaj kujua

- Usahihi wa hiyo topic aliyechagua
-Nini anachotakiwa kuzingatia mwanzoni NA research yote kwa ujumla?

Msaada wenu wakuu maana yuko njia panda anahitaji muongozo tu.
 
Mada inategemea na yeye anaona kuna kitu cha kufanyia kazi kwenye eneo husika ama la.. Kwa 3rd yr lengo ni kujifunza tu na si lazima kucome out na new findings. so anatakiwa aandae proposal fupi kwa kupitia rejea mbalimbali, njia atakayotumia, malengo, kuainisha tatizo na mengine machache. Kimsingi lazima awe na mentor/ advisor/supervirsor kumpa mwongozo
 
Nina ndugu yuko anachukua Clinical officer(3rd yr) ...Wameambiwa wachague topic yyte ambayo wangependa kuifanyia research ....Yy amechagua. " negative perception of many patients towards medical health personnel in govt hospital"...sasa ninachohitaj kujua

- Usahihi wa hiyo topic aliyechagua
-Nini anachotakiwa kuzingatia mwanzoni NA research yote kwa ujumla?

Msaada wenu wakuu maana yuko njia panda anahitaji muongozo tu.
Title yako ni kubwa sana ndugu itakupa shida katika kutengeneza statement of problem.. Information gap..na conceptual framework.. Jaribu kuifupisha ila isiondoe mantiki.. Na hiyo negative perception ije kuwa dependent variables..hizo nyingine uzigawe ziwe independent variable na intermidiate kama ita wezekana... Na njia rahisi zaidi angalie katika kozi alizo soma ni topic gani ana ijua zaidi kutoka hapo ndo aanze kutengeneza title..ila afanye hivyo kama n mvivu wa kusoma articles mbali mbali zinazo fanana na kozi yake...[emoji120]
 
Kweli mkuu statement of problem kwa title aliyochagua ni ngumu kidogo make na mm nimejaribu kujikumbusha kidogo kufikiria hizo variables
 
Acheni ujinga. Kwani huko chuo kafundishwa nini.? Nyie ndo nasababisha elimu bongo inashuka. Admn toa hii thread hapa. Nyie ndo mnaopewa degree za bure.
 
Zipi mkuu ...maana anasema ndio wameianza kuisoma kwa sasa NA hii ndio task ya kwanza.
Kwanza ingelikuwa poa sana kama yeye ndo angelikuwa anasoma tunachomshaurii au yeye ndo atuulizee

Ila hiki kitabu ni kizuri sana na mwambie aache uzembe
e1683ab56f501c2451add20bdaeced74.jpg
 
Acheni ujinga. Kwani huko chuo kafundishwa nini.? Nyie ndo nasababisha elimu bongo inashuka. Admn toa hii thread hapa. Nyie ndo mnaopewa degree za bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muonee huruma
 
Acheni ujinga. Kwani huko chuo kafundishwa nini.? Nyie ndo nasababisha elimu bongo inashuka. Admn toa hii thread hapa. Nyie ndo mnaopewa degree za bure.
Ahsante mkuu ....ila hata hapa kuna shule nzur pia tena wakat mwngine ni zaid ya huko madarasan.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nina ndugu yuko anachukua Clinical officer(3rd yr) ...Wameambiwa wachague topic yyte ambayo wangependa kuifanyia research ....Yy amechagua. " negative perception of many patients towards medical health personnel in govt hospital"...sasa ninachohitaj kujua

- Usahihi wa hiyo topic aliyechagua
-Nini anachotakiwa kuzingatia mwanzoni NA research yote kwa ujumla?

Msaada wenu wakuu maana yuko njia panda anahitaji muongozo tu.
Cha kwanza anatakiwa achague topic ambayo;
1*itamuwia urahisi kuwapata respondents
2*respondents watakuwa huru kutoa michango yao bila hofu wala hisia za unyanyapaa
3*isiwe inaleta mgongano wa moja kwa moja na taasisi husika au mamlaka.. hii itampa wepesi kwenye kupata vibali vya utafiti na ruhusa
4* iwe realistic
ZIADA: AWE MJANJA KUCHAGUA TOPIC AMBAYO HATA AKIMALIZA CHUO KUNA MAENEO AKIENDA KUOMBA KAZI AKIONESHA ENEO ALILOTAFITI NA AINA YA UTAFITI ALIOFANYA ITAMPA FAIDA YA KUFIKIRIWA ZAIDI..
......
*JAMBO LA PILI
inatakiwa a'set title yake iwe inaonesha wazi variables ambazo ni
... independent-intermediate-dependent variables (vipimo vyenye kuonyesha uhusiano/usababishi wa kimatokeo kati ya jambo na jambo)
mfano "huduma za hospitali na matokeo ya tiba"... hapa itakuwa variable huru ni huduma za hospitali (huduma zote) variable ya kati yaweza kuwa (muundo wa sera ya afya, utoaji wa vifaa tiba, hali ya majengo na mazingira ya hospitali n.k) variable tegemezi itakuwa matokeo ya tiba (yawe mazuri, ya wastani au mabaya).......
...
JAMBO LA TATU
anatakiwa atambue lengo la utafiti ni kutaka kupima nini.. NA TITLE ISIWE IMESHAJIBU UTAFITI WENYEWE
...
JAMBO LA NNE
Title ya tafiti yake isiwe ndefu yenye kuchosha kusoma na iwe yenye kueleweka moja kwa moja (wastani wa maneno 15 ni mzuri)
MFANO
"negative perceptions of many patients towards medical health personel"
Kwa maoni yangu ingefupishwa
"Patient's perception on medical health personnel in government hospitals" utaongezea study case . Au unaweza kutoa hiloneno ON ikawa TOWARDS
...
MASWALI YA KUJIULIZA KWENYE HIYO TITLE.
1. Amejihakikishiaje kama kuna negative perception ya patients tena kuwaelekea wahudumu wa afya? Je kuna utafiti umeshasema hayo?... ana enough literature sources to review ili a'support argument hii?.. ISIONYESHE TAYARI MAJIBU ANAYO MFUKONI ITAKUWA SIYO TAFITI HALALI
2. je sio ndefu sana?
3. Je atapata access kirahisi kuwafikia wahojiwa wake? Je atawapata hospitali au uraiani? (Vibali na ruhusa hautompa urasimu?)
4 . Variable zinapimika? Lengo la utafiti ni kupima nini?
.....
ASITISHIKE NA MANENO MENGI..
Anaweza kuitwist kidogo ikaleta maana
Au akabadili (title huwa zinabadilika tunasema hatufungi ndoa na title za research.. any time unabadili unakamata inayofanyika)
 
Acheni ujinga. Kwani huko chuo kafundishwa nini.? Nyie ndo nasababisha elimu bongo inashuka. Admn toa hii thread hapa. Nyie ndo mnaopewa degree za bure.
Ndio maana kwenye research mwanafunzi anapewa supervisor.. na hazuiwi kudadisi kwingineko.. hapa haandikiwi tafiti anakusanya mawazo ya awali.. *na inatambulika hii..*..
Sasa kwenye data collection akisema kaajiri research assistants utasema kafanyiwa wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
Kauliza swali la kawaida tukimnyima hapa hata akigoogle atapata mkuu
 
Kwa hiyo unasoma unamsimulia au ?? Au ni wewe ??
[emoji2] [emoji3] ...hapana mkuu, ni Shem wako ....mm mwenyewe ni undergraduate nipo 2nd yr ila sijapata kusomaga haya mavitu ...ila Mara nying shule za jf huwa nazielewa sana ndio maana nikaona niilete hapa itanisaidia japo kupata pa kuanzia naye mjadala kuliko akaniuliza chochte nikabak namuitikia tu hiyo kesho ....ila thanx wote nimepata mwanga kdgo.
 
Kijana kuwa siliasi kumbe unatuchosha ili usionekane bwege mbele ya kipusa chako [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza nakuonea huruma
 
Back
Top Bottom