EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
🤪🤪🤪🤪👍👍👍👍👍Bila mtaji huwezi. Kunahitajika mtaji wa nguvu, mtaji wa vifaa kama vya kuchimbia n.k
Wangari je una experience yeyote na biashara ya madini ya Tanzanite?Tafuta hata 1m uende ukajifunze kuyajua mawe mazuri utengeneze mwalo wa kutikisa...means ukinunua mifuko 50@20000 na mawe yakawa na point 2 unaweza uza uza hicho kifusi kwa 2-2.5m..yaan ununue mawe mazuri lakini using'ang'ane kukuza rundo kubwa ..yaan kanyanyuke tu kias usawa wa bajaj (height) unauza unaanza tena
Nb..kuna wamama wanaanziaga na 50000....plus upigaji ukware..ila nimegundua wako kwenye hatari sana...ila nimegundua wanafake sana ananunua mawe kwa 5000 ambayo hayaba sample anatanguliza chini...anaishia kuuza kwa hasara
Hapana mkuuWangari je una experience yeyote na biashara ya madini ya Tanzanite?
Nimecheka yaani sululu na kalai hana anataka awe mchimbaji.Nashauri kama ana sura ya kutisha kidogo aende ajifanyr mganga wa kutabiri miamba.Bila mtaji huwezi. Kunahitajika mtaji wa nguvu, mtaji wa vifaa kama vya kuchimbia n.k
Inalipa balaa..changamoto ni 1..unaweza jenga 3mths kitu kikakata means mgodi ukakata...so itatakiwa kuhamisha tena gest ufind eneo lililolipuka uhamishe ..au unaweza jenga fast mkaja hamishwa mkapewa maeneo mengine..bt ukijenga gest siku 30 umerudisha hela ya bati na siku 30 mbelen ya magodoro..nasemea kuanzia room 20..chin ya hapo hata 2wks nyingi hela yako imerudi( kama mgodi umelipuka)mi nataka nikajenge guest bubu naskia huko wananyanduana sana
Hii safi sana, kama unaweza kununua na kuoshs mwenyewe inalipa sana unakussnya hata tani 400 za kifusi unaosha.Tafuta hata 1m uende ukajifunze kuyajua mawe mazuri utengeneze mwalo wa kutikisa...means ukinunua mifuko 50@20000 na mawe yakawa na point 2 unaweza uza uza hicho kifusi kwa 2-2.5m..yaan ununue mawe mazuri lakini using'ang'ane kukuza rundo kubwa ..yaan kanyanyuke tu kias usawa wa bajaj (height) unauza unaanza tena
Nb..kuna wamama wanaanziaga na 50000....plus upigaji ukware..ila nimegundua wako kwenye hatari sana...ila nimegundua wanafake sana ananunua mawe kwa 5000 ambayo hayaba sample anatanguliza chini...anaishia kuuza kwa hasara
Yes...unaweza kusanya gari 2 ton 15 tu ukatobolea huko..mradi tu uvumilie heka heka zote...unaweza kaa hata 2wks hakuna mawe mazuri...Hii safi sana, kama unaweza kununua na kuoshs mwenyewe inalipa sana unakussnya hata tani 400 za kifusi unaosha.
Kuna sehemu nashirikiana na mtu kwenye hii project sema yeye mzoefu yuko anafanya mwaka wa tatu anachimba na kusaga na kuosha ana crusher 2 zake peke yake sasa kwenye crusher ya tatu ndo tunashrikiana ila kutokana na mtaj wangu kuwa mdogo no uwekezaj wa mwaka mzma mpaka kifusi kifike tani 400+. Kwenye hizo nyingine yeye anaosha kila.baada yamiezi 2-3.Yes...unaweza kusanya gari 2 ton 15 tu ukatobolea huko..mradi tu uvumilie heka heka zote...unaweza kaa hata 2wks hakuna mawe mazuri...
Yes...hata 2mths kama una speed nzuri unauza..yaan daily uhakikishe unasaga mifuko 10-20 after 2 mothns unauza...hongera .ILA KUWA MAKINI MNO MNO..wanageukaga hao .anakupa mahesabu hayo .ukiangalia umepoteza mwaka mzima then kifusi kisome vby...Kuna sehemu nashirikiana na mtu kwenye hii project sema yeye mzoefu yuko anafanya mwaka wa tatu anachimba na kusaga na kuosha ana crusher 2 zake peke yake sasa kwenye crusher ya tatu ndo tunashrikiana ila kutokana na mtaj wangu kuwa mdogo no uwekezaj wa mwaka mzma mpaka kifusi kifike tani 400+. Kwenye hizo nyingine yeye anaosha kila.baada yamiezi 2-3.
Sehemu mmoja inaitwa mwamazengo huko misungwi. Hatununui tunachimba wenyewe.Yes...hata 2mths kama una speed nzuri unauza..yaan daily uhakikishe unasaga mifuko 10-20 after 2 mothns unauza...hongera .ILA KUWA MAKINI MNO MNO..wanageukaga hao .anakupa mahesabu hayo .ukiangalia umepoteza mwaka mzima then kifusi kisome vby...hakikisha mnanunua wote mawe,mnachenjua wote dhahab na mnauza kwa uwazi ..mwingine anakuambia mshee lakin anakupga mwanzo mwisho ananunua mawe ya 5000...na kufukuzia kwa mwaka aisee itabid mtaji mnene...bila hvyo unazika hela yako tu ..unakuja kupata kamgao kaduchu...
Nakuambia uwe makini na hicho kifusi mnachofukuza kwa mwaka mmoja..wanunuzi wazuri wa vifusi hawatakag mavifus makubwa..
Sababu huwa ni 1....wanashindwa kupata sample nzuri kupeleka maabara( maana inabid apate sample toka chini kbs had juu kabisa akibug imekula kwake( .....wanaamini kbs 40% utakuwa umefake .means umenunua mawe yasio na kiwango..utawaita wee hawaji ng'o utakaa hata 1yr unabembeleza waje ila ukiwa na kifusi kama gari 5..asbh wanapima kesho mnamalizana...
Ukiona mtu anafukuzia kifusi kwa mwaka mzima hao 100% wana plant zao..au mmoja ana plant( kama wameshare)....so hao hawana hasara hao..wataosha 3tyms had 4th nakutoka na dhahabu ...
All the best mkuuSehemu mmoja inaitwa mwamazengo huko misungwi. Hatununui tunachimba wenyewe.
Unalosema ni kweli mkuu. Huyu ameanza muda halagi hasara akiinvest 80, anaondoka 170-200. Aliacha kununua mawe toka mwaka jana mwezi wa pili anachimba mwenyewe