Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata;
1. Sababu za kubadili Jina la Biashara
Either unafanya
-Rebranding
-unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa
Etc
2. Angalia kama jina Linapatikana Kwa Ajili Ya Usajili
Search Hilo jina kwenye website ya Brela, kama lipowazi unaendeleaje na usajili.
3. Andaa Ombi rasmi la kubadilisha jina.
-kama ni business name weka tuu maombi kwenye Brela ORS.
- Kama ni Kampuni unahitaji documents kama company resolution.
4. Lipia ada ya kubadili Jina
Brela Ina ada rasmi kwa mabadiliki ya jina hakikisha unalipia within 3 days.
5. Download cheti kipya
Baada ya maombi kukubaliwa utapewa new business certificate au certificate of Incorporation mpya kama ni Kampuni.
6. Update nyaraka zote muhimu
-TRA TIN number
Hey naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni, kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni na biashara unaweza kanipigia kwa namba hizi 0678131068
Your Favorite Lawyer

- Leseni ya biashara
- Akaunti ya benki
- websites, social medias etc