Huna haja ya kuficha njia rahisi ni kufanyaAnataka kuiuza ionekane ni ya juzi ilo suala linawezekana sana tu. Kuna njia ya kufanya ila sitaweka hapa na mtu asije pm kuuliza. najua ikifahamika sana mtatumia fursa iyo kituuzia ma namba A kuwa ni D. Natafanya TRA washituke wengine fursa zipotee
Huu utata hauwezi kuleta suluhu kweli...?
Mzee Muro wa Tzie akiuza gari yake Namba T 100 BXL kwa Okumu wa Mombasa kule Kenya gari itapata usajili Mpya, then baadae Okumu akaamua kumuuzia gari hilohilo Simba Mtoto wa Tanzania hapo gari itasajiliwa kwa namba za Tanzania Je, litapewa namba mpya au litarudishiwa namba zilezile za T 100 BXL.
Naomba kueleweshwa happo.
hapa atalipia importation upya😊😊😊si bora anunue lingine?Hapo namba itapewa mpya, sababu ni usajili mpya, ile ya zamani alishairudisha gari ilipouzwa nje ya nchi.
Zitaanza kutoka mwaka 2022Je no zinazoanza na E zimeshatoka? Nataka kujua wanajamvi!
Mkuu sio mwakani kweli 2021 😃😃Zitaanza kutoka mwaka 2022
Hapana kwa mwaka tunatembea na herufi tatu tu, kwa sasa zimebaki herufi sita ambazo ni U,V,W,X,Y na Z hizo zote haziwez kuisha mwakaniMkuu sio mwakani kweli 2021 [emoji2][emoji2]
Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
#Avatar mahondawKwann wataka kubadili namba. Na namba ya zaman kwann hajitaki labda ulifanya uharifu unataka ujifche kwenye D
Sio plate number, ni number plateHuwezi kubadilisha namba kutoka B kwenda D labda unaweza kubadilisha hiyo plate number kwa kuweka jina lako
Plate no itakuwa na jina BRO SANTANA
Ila inabid uwe na hela ndefu kweli
Sent from my iPhone using JamiiForums
Cha muhimu umeelewa 😅Sio plate number, ni number plate
Dumelang
Zipo za kitengo nimekutan na namba F ilikuwa inaenda airportbado sana. labda miaka mitano ijayo
Tulia kwanza tatizo nn? Limao unalo hapo ulipo?Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
Hakuna kitu kama hicho. Gari linasajiliwa mara 1 kwa aina moja ya namba. Unaweza badili usajili kutoka za serikali au majeshi kuja namba za kiraia. Huwezi sajiliwa kwa namba za kiraia mara 2.
Mkuu vp ebu nipe mchongo wa kutafuna nshomile aise Kuna mmoja ananipiga chenga SanaTulia kwanza tatizo nn? Limao unalo hapo ulipo?
Hahahaaaa chief hiyo njia ilisha shtukiwa siku nyingi sana kifupi ni kwa sasa haiwezekani.Anataka kuiuza ionekane ni ya juzi ilo suala linawezekana sana tu. Kuna njia ya kufanya ila sitaweka hapa na mtu asije pm kuuliza. najua ikifahamika sana mtatumia fursa iyo kituuzia ma namba A kuwa ni D. Natafanya TRA washituke wengine fursa zipotee
Ikiingizwa chassis namba kwenye mfumo wa TRA inaonesha gari hiyo ilisha wahi pata usajili wa tanzania kwa namba T100BXL hivyo atabaki na namba yake ile ile ila tu ataambiwa akachonge plate number mpya yenye namba T100BXL maana ile ya awali imeachwa kenya.Huu utata hauwezi kuleta suluhu kweli...?