Jinsi ya kubadilisha namba ya gari

Jinsi ya kubadilisha namba ya gari

Anataka kuiuza ionekane ni ya juzi ilo suala linawezekana sana tu. Kuna njia ya kufanya ila sitaweka hapa na mtu asije pm kuuliza. najua ikifahamika sana mtatumia fursa iyo kituuzia ma namba A kuwa ni D. Natafanya TRA washituke wengine fursa zipotee
Huna haja ya kuficha njia rahisi ni kufanya
deregistration na ku register upya
 
Hapo namba itapewa mpya, sababu ni usajili mpya, ile ya zamani alishairudisha gari ilipouzwa nje ya nchi.
Huu utata hauwezi kuleta suluhu kweli...?
Mzee Muro wa Tzie akiuza gari yake Namba T 100 BXL kwa Okumu wa Mombasa kule Kenya gari itapata usajili Mpya, then baadae Okumu akaamua kumuuzia gari hilohilo Simba Mtoto wa Tanzania hapo gari itasajiliwa kwa namba za Tanzania Je, litapewa namba mpya au litarudishiwa namba zilezile za T 100 BXL.
Naomba kueleweshwa happo.
 
Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.

Huwezi kubadilisha namba kutoka B kwenda D labda unaweza kubadilisha hiyo plate number kwa kuweka jina lako
Plate no itakuwa na jina BRO SANTANA

Ila inabid uwe na hela ndefu kweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio plate number, ni number plate

Dumelang
 
Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
Tulia kwanza tatizo nn? Limao unalo hapo ulipo?
 
Hakuna kitu kama hicho. Gari linasajiliwa mara 1 kwa aina moja ya namba. Unaweza badili usajili kutoka za serikali au majeshi kuja namba za kiraia. Huwezi sajiliwa kwa namba za kiraia mara 2.

mkuu inakuaje kwa yule mtu anayemilikia gari za zamani kama Peugeot 404 na akaamua kuifufua.. ataruhusiwa kuingia nayo barabarani ikiwa na namba ipi
 
Tulia kwanza tatizo nn? Limao unalo hapo ulipo?
Mkuu vp ebu nipe mchongo wa kutafuna nshomile aise Kuna mmoja ananipiga chenga Sana

Sent by IPhone
 
Ukilipeleka zenji baada ya muda uje ulisajili huku
 
Anataka kuiuza ionekane ni ya juzi ilo suala linawezekana sana tu. Kuna njia ya kufanya ila sitaweka hapa na mtu asije pm kuuliza. najua ikifahamika sana mtatumia fursa iyo kituuzia ma namba A kuwa ni D. Natafanya TRA washituke wengine fursa zipotee
Hahahaaaa chief hiyo njia ilisha shtukiwa siku nyingi sana kifupi ni kwa sasa haiwezekani.
 
Huu utata hauwezi kuleta suluhu kweli...?
Mzee Muro wa Tzie akiuza gari yake Namba T 100 BXL kwa Okumu wa Mombasa kule Kenya gari itapata usajili Mpya, then baadae Okumu akaamua kumuuzia gari hilohilo Simba Mtoto wa Tanzania hapo gari itasajiliwa kwa namba za Tanzania Je, litapewa namba mpya au litarudishiwa namba zilezile za T 100 BXL.
Naomba kueleweshwa happo.
Ikiingizwa chassis namba kwenye mfumo wa TRA inaonesha gari hiyo ilisha wahi pata usajili wa tanzania kwa namba T100BXL hivyo atabaki na namba yake ile ile ila tu ataambiwa akachonge plate number mpya yenye namba T100BXL maana ile ya awali imeachwa kenya.
 
Back
Top Bottom