Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

PUNYETO inahusika vipi hapo
Punyeto haiusiani vyovyote na matatizo hayo
hakuna uthibitisho wala uchunguzi wa kisayansi
 
Hivi kuzama chumvini kunaathiri ubora wa mbegu za kiume kisha mwanamke asishike mimba?
 
Mungu fundi wewe.

Ndani ya sekunde sperm 1,500 huanza kutengenezwa.
Kwa siku ni kama milioni.

Sasa kama kila siku kiwanda kinafanya kazi, unafikiri kila siku product ngapi zinakua tayari kwa kazi?? Mwanaume mashine ndo ilizaliwa hapa ,,😁
Piga pumbu usiangalie sura πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
HIV UNAJUA SPERM NGAPI ZINAZALISHWA KWA SIKU NA HUCHUKUA NGAPI KUTUNGA MIMBA
 
Kwa hiyo mkuu unaweza kumnyonya mwanamke na mate yasiathiri mwanamke kushika ujauzito

Niliwahi kusikia;km mnatafuta mtoto mambo ya kupakapaka mate siyo poa
Hata mimi niliambiwa na daktari bingwa kabisa wa masuala ya uzazi kwamba mate yanaharibu sperms, si vizuri kuyatumia wakati wa kuitafuta mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…