Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Hata Mimi ndivyo nilivyosikia Ila sikuwa na uthibitisho ndy maana nimekausha baada ya jibu la mleta mada..maana jamaa kapinga comment yangu ya Kwanza nikajaribu kujitetea tena pia kasimamia pale pale kwamba mate hayaathiri chochoteMimi niliambiwa na daktari bingwa kabisa wa masuala ya uzazi kwamba mate yanaharibu sperms, si vizuri kuyatumia wakati wa kuitafuta mimba
Sijui utaalam wa mleta mada ni wa kiwango gani. Lakini daktari bingwa mwenye uzoefu wa kutosha, anayeattend hospital kubwa zaidi ya tatu hawezi kuchemsha katika jambo dogo kama hilo.Hata Mimi ndivyo nilivyosikia Ila sikuwa na uthibitisho ndy maana nimekausha na jibu la mleta mada..maana jamaa kapinga comment yangu ya Kwanza nikajaribu kujitetea tena pia kasimamia pale pale kwamba mate hayaathiri chochote
Nikakaa kimya coz no research no right to speak
anaweza yeye kuwa yupo sahihi tusibishe ..Ila Alichopaswa kufanya ktk kunijibu swali langu ni kutoa maelezo na si Kusema neno moja Tu 'hapana'Sijui utaalam wa mleta mada ni wa kiwango gani. Lakini daktari bingwa mwenye uzoefu wa kutosha, anayeattend hospital kubwa zaidi ya tatu hawezi kuchemsha katika jambo dogo kama hilo.
Anhaa sasa pombe imefuata nini tena ? Mbona walevi wana watoto.
Mwisho wa utekelezaji mbegu, Mwanaume anaweza kutengeneza mpaka kiwango cha sperms Bilion 8 tayari kwa matumizi.
Ni kweli, elimu haitolewi kwa kifupi.anaweza yeye kuwa yupo sahihi tusibishe ..Ila Alichopaswa kufanya ktk kunijibu swali langu ni kutoa maelezo na si Kusema neno moja Tu 'hapana'
Aongeze nyama kidogo katka kutetea jibu lake la 'hapana'
Nitatafuta muda nitolee ufafanuzi kwa ujumla jambo hili mkuu. Lakini una haki zote kuamini unachoamini.anaweza yeye kuwa yupo sahihi tusibishe ..Ila Alichopaswa kufanya ktk kunijibu swali langu ni kutoa maelezo na si Kusema neno moja Tu 'hapana'
Aongeze nyama kidogo katka kutetea jibu lake la 'hapana'
Utakuwa umefanya vema Sana mkuu[emoji120]Nitatafuta muda nitolee ufafanuzi kwa ujumla jambo hili mkuu. Lakini una haki zote kuamini unachoamini.
Ahahaha 'bwana Mwenyekiti wa chaputa'kwa hiyo punyeto inaweza kusababisha mwanamke asishike mimba? maskin kina mama unaweza kuta unahangaika kutafta mtoto unatumia kila dawa kila hosp unaenda kumbe bwana MWENYEKITI WA CHAPUTA😕
Anhaa sasa pombe imefuata nini tena ? Mbona walevi wana watoto.
Yaweza kuwa moja ya sababu. Chamsingi ni huyo bibie na bwana wake waende kucheki afya zao kwa pamoja hospitali ili kujua tatizo kwa undani zaidi.kwa hiyo punyeto inaweza kusababisha mwanamke asishike mimba? maskin kina mama unaweza kuta unahangaika kutafta mtoto unatumia kila dawa kila hosp unaenda kumbe bwana MWENYEKITI WA CHAPUTA😕
Lazima kwanza ijulikane nini chanzo cha tatizo hilo la ugumba. Ugumba una sababu nyingi mkuu sio uliyouliza pekee.Naomba kuuliza
Hivi mwanaume mgumba hanwagi mbegu wakati wa majambozi
Kama ndio anamwaga nin?
Kama sivyo zinakua zimekosa nin?
Yaweza kuwa moja ya sababu. Chamsingi ni huyo bibie na bwana wake waende kucheki afya zao kwa pamoja hospitali ili kujua tatizo kwa undani zaidi.
Mwanaume kukubali kupima ni ngumu sana mpk akubali bibie kashaipta fresh yan kazunguka na kuhangaika sana kwa ajili ya matibabu yake.Yaweza kuwa moja ya sababu. Chamsingi ni huyo bibie na bwana wake waende kucheki afya zao kwa pamoja hospitali ili kujua tatizo kwa undani zaidi.
satoh mfano mkeo ana kufuma live unapiga punyeto unajisikiaje na yeye yupo jamn mim najua hayo mambo yana umri flani na labda kwa wapenzi walio mbali mbali ata kwa wanandoa wanaoishi pamoja?Ahahaha 'bwana Mwenyekiti wa chaputa'
Bibie ukweli ni kwamba karibia 95% wameshawahi na wengine wanaendeleakupiga nyeto hata kwenye ndoa.sasa swali ni je watoto wanaozaliwa ni wa hawa aslimia 5 iliyobaki?..jibu siyo kweli