Jinsi ya kuchemsha chai ya rangi

Uji mwepesi au uji mzito? una pilipili manga au hauna?

Hayo maswali yaweke tumsubiri Prof sas akija na pishi lake la uji tumuulize...bahati nzuri huwa anaruhusu maswali...lol
 
Last edited by a moderator:
Jamani naona kila mtu uji uji mpaka kwenye PM natafutwa ohoo tulete uji wenzio twaumbuka uku.
ahaaahaaaaaa poleni sana
 
Mkuu, sisi watoto wa kitanga hatuwezi kunywa chai hiyo. Tunasema hiyo sio chai,ni mate. Pishi la chai lazima kuwe na hiliki, mdalasini pilipili manga au kwa wengine wanatupia majani ya mchaichai..
 
Hiyo ni juisi ya maji ya moto mpaka uongeze vifuatavyo iliki mdalasini tangawizi mchaichai na mengineyo
 
Asante sana ,Nilikuwa najiuliza hivi fomula ya kupika chai ikoje ingawa ni jambo dogo sana

wengine wanasema majani yakichemkia sana kwenye chai yanakuwa sumu

Hivyo unaacha maji yachemke ndio unaweka majani yakichemka kidogo unaipua

wengine wanasema unaweka maji na majani pamoja vikichemka pamoja unaipua

Ipi ni sahihi kati ya hizi?
 

sukari ya kuungia mezani nasikia si nzuri imekaaje hii
 

Mi skuizi hata majani sitii. Naweka spices ndani ya maji ilichemka chai tayari kwa kunywewa.

Labda nipike ya maziwa ndo naweka majani.
 
Mkuu, sisi watoto wa kitanga hatuwezi kunywa chai hiyo. Tunasema hiyo sio chai,ni mate. Pishi la chai lazima kuwe na hiliki, mdalasini pilipili manga au kwa wengine wanatupia majani ya mchaichai..

Ahaahaaaahaaa
Pole sana mtoto wa kitanga, fuatilia vizuri majibu yangu mbona umesha jibiwa...
 
Achana na waitwao "wengine" cheki Prof kasemaje apo juu, fuata...
 

duh!
chai nyepeeeesi hiv?!
chai kaavuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…