Hahahaaaaa, pishi lijalo litakuwa uji.
Hahahahha basi tunasubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa, pishi lijalo litakuwa uji.
Hahahaaaaa, pishi lijalo litakuwa uji.
We prof umetishaaaa!
Mkuu, sisi watoto wa kitanga hatuwezi kunywa chai hiyo. Tunasema hiyo sio chai,ni mate. Pishi la chai lazima kuwe na hiliki, mdalasini pilipili manga au kwa wengine wanatupia majani ya mchaichai..MAHITAJI
- Maji safi
-Majani ya chai
-Chombo cha kuchemshia(sufulia nk.)
-Chanzo cha nishati( jiko la mkaa,mafuta nk.)
Nb: kabla ya kuchemsha chai zingati idadi ya watumiaji
JINSI YA KUCHEMSHA
Weka chombo chako chenje maji jikoni,tia majani ya chai(usiweke mengi sana itafanya chai yako kua chungu), acha ichemke , epua chai yako weka kwenye chombo ulicho andaa, chai yako ipo tayari kwa kunywa.
MAKOSA:kutia sukari kabisa si vizuri kwani kila binadamu anakiasi chake cha sukari anacho tumia.
Aksanteni sana chai njema.
Mh. Wenzetu wa pwani watayaita maji yakunawia manake bila viungo haiendiiiiii.
Wewe utakua bachelor, maana sijui kama kuna mtu anashindwa kuandaa chai!
MAHITAJI
- Maji safi
-Majani ya chai
-Chombo cha kuchemshia(sufulia nk.)
-Chanzo cha nishati( jiko la mkaa,mafuta nk.)
Nb: kabla ya kuchemsha chai zingati idadi ya watumiaji
JINSI YA KUCHEMSHA
Weka chombo chako chenje maji jikoni,tia majani ya chai(usiweke mengi sana itafanya chai yako kua chungu), acha ichemke , epua chai yako weka kwenye chombo ulicho andaa, chai yako ipo tayari kwa kunywa.
MAKOSA:kutia sukari kabisa si vizuri kwani kila binadamu anakiasi chake cha sukari anacho tumia.
Aksanteni sana chai njema.
Asante sana ,Nilikuwa najiuliza hivi fomula ya kupika chai ikoje ingawa ni jambo dogo sana
wengine wanasema majani yakichemkia sana kwenye chai yanakuwa sumu
Hivyo unaacha maji yachemke ndio unaweka majani yakichemka kidogo unaipua
wengine wanasema unaweka maji na majani pamoja vikichemka pamoja unaipua
Ipi ni sahihi kati ya hizi?
Mkuu, sisi watoto wa kitanga hatuwezi kunywa chai hiyo. Tunasema hiyo sio chai,ni mate. Pishi la chai lazima kuwe na hiliki, mdalasini pilipili manga au kwa wengine wanatupia majani ya mchaichai..
sukari ya kuungia mezani nasikia si nzuri imekaaje hii
Achana na waitwao "wengine" cheki Prof kasemaje apo juu, fuata...Asante sana ,Nilikuwa najiuliza hivi fomula ya kupika chai ikoje ingawa ni jambo dogo sana
wengine wanasema majani yakichemkia sana kwenye chai yanakuwa sumu
Hivyo unaacha maji yachemke ndio unaweka majani yakichemka kidogo unaipua
wengine wanasema unaweka maji na majani pamoja vikichemka pamoja unaipua
Ipi ni sahihi kati ya hizi?
Hiyo ni juisi ya maji ya moto mpaka uongeze vifuatavyo iliki mdalasini tangawizi mchaichai na mengineyo
Tunayaita mate hayo. Hiyo chai imepooza sana
Achana na waitwao "wengine" cheki Prof kasemaje apo juu, fuata...