Jinsi ya kuchemsha chai ya rangi

Jinsi ya kuchemsha chai ya rangi

Santeeee kwa hili somo mie nilikuwa sijui ati!
Nalog off
 
nina ugonjwa wa kuweka sukari moja kwa moja wakati maji ya baridi vichemke pamoko
 
MAHITAJI

- Maji safi

-Majani ya chai

-Chombo cha kuchemshia(sufulia nk.)

-Chanzo cha nishati( jiko la mkaa,mafuta nk.)


Nb: kabla ya kuchemsha chai zingati idadi ya watumiaji

JINSI YA KUCHEMSHA
Weka chombo chako chenje maji jikoni,tia majani ya chai(usiweke mengi sana itafanya chai yako kua chungu), acha ichemke , epua chai yako weka kwenye chombo ulicho andaa, chai yako ipo tayari kwa kunywa.

MAKOSA:kutia sukari kabisa si vizuri kwani kila binadamu anakiasi chake cha sukari anacho tumia.

Aksanteni sana chai njema.

Hapo Sijakuelewa Kabisa
 
Back
Top Bottom