BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hahahahahaha lol!!!! Chezeya watoto wa dot.com "watoto wa baba zao na mama zao", ukimwambia nitengenezee chai ya rangi anaweza kuweka majani ya chai jikoni bila maji lol!!!! au mayai ya kuchemsha au ya kukaanga hata hajui aanzie wapi na nini cha kufanya. Wa kulaumiwa ni wazazi ambao kwa kuwa nyumbani kuna HG basi hawafunzwi chochote kuhusu mapishi. Sasa mtoto kama ni binti na anabahatika kuolewa wazazi wiki chache kabla ya ndoa ndio wanahangaika kutafuta shule ya mapishi. Wekeni tu hata namna ya kupika hata chai ya maziwa, mayai ya kuchemsha n.k. watoto wa dot.com watafaidika.