Jinsi ya Kuepuka Kuibiwa Mafuta Unapojaza.....

Ha ha ha ha ha
 
Mimi huwa natumia njia ya pili ya kuweka kwenye kidumu,sasa huwa nawaacha wahudumu hoi sana,maana nilivyo na ninavyofanya sifananii kabisa.(maana nipo kibosi bosi )
Umesha notice ukitumia njia hii wale wahudumu huwa wana nuna!
 
Ile ya kujaza upepo ni myth tu. Ila kuna pump zimechezewa au zina muda mrefu hazijanyiwa calibration hivyo unaweza kukuta yenyewe kwenye lita 1 inajaza 700ml etc.

Wakala wa vipimo anahusika hapa.
Mkuu cheki ya kujaza upepo ilivyo
 

Attachments

Kuna pale GBP sinza na Victoria naonaga magari hayakatiki..

Ni vizuri kuwa na kituo chako unachokiamini pia kuepuka kuweka mafuta usiku..
 
Mkuu cheki ya kujaza upepo ilivyo
Duh...kwahio hapo ana uwezo wa kujaza mafuta halafu anabana haijazi kitu ila inahesabu tu?!! Aisee...halafu hio ni India au Pakistan?
 
Duh...kwahio hapo ana uwezo wa kujaza mafuta halafu anabana haijazi kitu ila inahesabu tu?!! Aisee...halafu hio ni India au Pakistan?
India iyo chief..
 
Hhaahhahaaa
 
[emoji28][emoji28]umenichekesha sana
 
Juzi kwenye ka starlet kangu nimeweka petrol ya elfu 20 pale oryx nyakahoja gauge ikagoma kushtuka nikajua itapanda tu huyooo nikaset km baada ya 58km ikazima kumbe walinikata mi nilizoea ya elfu 20 napiga 120 ,km Happ naugulia maumivu
 
Hahaha umetisha
 
Duh.!
 
Dah.!
 
Umenena, Big Born ya Kariakoo waliwahi niwekea upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…