Jinsi ya Kuepuka Kuibiwa Mafuta Unapojaza.....

juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
 
Wenye malori huwa tunawafungia sensor kwenye matanki ya gari zao so wakijaza mafuta wanapa alert kupitoa alert ni litangapi zimewekwa hapo huwezi ibiwa kabisa.
Kwenye malori huko balaa. Kama hujadhibiti mafuta biashara itakushinda.
 
juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
Mungu anakuona. Kuna mtu alinisimulia stori kama hii au nilisoma JF alitoa 40,000 sasa muhudumu na haraka zake akaweka auto mode akabonyeza 400,000 akaenda kujaza gari ingine upande wa pili! Anakuja kushtuka gari imejaa full tank mafuta yanamwagika pump yake inasoma 150,000!
 
Wengine wanakataa kuzaja kwenye dumu. Nadhani ndiyo zenye matatizo
Wanaokataa kuweka kwenye kidumu ujue ni wezi...

Yeye: Bro hatuweki kwenye dumu, gari liko wapi?
Mimi: Sihitaji mafuta kwa ajili ya gari
Yeye: Sasa unahitaji ya nini
Mimi: Jenereta
Yeye: Hapana bro, haturuhusiwi kuweka kwenye kidumu kwa sababu za kiusalama
Mimi: Kushoto, kulia, kushoto kulia... mpaka kwenye kibajaji changu.... Huyoooo na hela zangu salama.
 
juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
180,000 ilikuwa gari gani, au ilikuwa ni truck!?
 
Wanaokataa kuweka kwenye kidumu ujue ni wezi...

Yeye: Bro hatuweki kwenye dumu, gari liko wapi?
Mimi: Sihitaji mafuta kwa ajili ya gari
Yeye: Sasa unahitaji ya nini
Mimi: Jenereta
Yeye: Hapana bro, haturuhusiwi kuweka kwenye kidumu kwa sababu za kiusalama
Mimi: Kushoto, kulia, kushoto kulia... mpaka kwenye kibajaji changu.... Huyoooo na hela zangu salama.
Muongo huyo. Hairuhusiwi kuweka kwenye vidumu/madumu ya maji kama UHAI,MAISHA etc...ila vidumu kama vya total oil wanaweka.
 
juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
Mkuu Hii Gari Gani Mkuu,??
 
juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
God is watching[emoji19]
 
Muongo huyo. Hairuhusiwi kuweka kwenye vidumu/madumu ya maji kama UHAI,MAISHA etc...ila vidumu kama vya total oil wanaweka.
Sikutaka kubishana na yule mwehu wakati mita mia tu mbele kuna kituo kingine...
 
Acha kabisa komredi... Buku 10 unagonga bapa la nyagi na kongoro lako safi... unabakiwa na kazi ya kuongea kiingereza kama cha Nyani Ngabu bila kokoro.

As thrifty as I am, I can stretch that 10K like a rubber band.

In this climate I can't afford to spend any monies neither in a harum-scarum way nor with reckless abandon.

Times are hard and frugality is the name of the game.
 
Kwenye malori huko balaa. Kama hujadhibiti mafuta biashara itakushinda.

Jamaa kwa kupiga nyoka ni balaa.

Ila wizi mkubwa ni huo wa kuchezea pump. Na wanashirikiana na watu wa WMA ila ule wa kureset 0000 ni uzembe

Kuna siku nilikutana na case ya mtu kuwekewa diesel gari ya petrol halafu full tank. Huu nao ni uzembe kwa kias kikubwa kwakua nilishindwa kuelewa. Mtu anaweka mafuta analeta ubosi yuko kwenye tinted na AC anakula mziki. Lazima uumizwe.

Mimi nikifika nashuka nazima gari naanza kuzunguka hadi lakiri za WMA huwa nazikagua. Hata kama mafuta ya buku10. Huwa wanamaind balaa ioa ndo utaratibu wangu.

Haiwezekani ununue vocha imescratchiwa kwa kumuamini mtu dunia hii
 
Mungu anakuona. Kuna mtu alinisimulia stori kama hii au nilisoma JF alitoa 40,000 sasa muhudumu na haraka zake akaweka auto mode akabonyeza 400,000 akaenda kujaza gari ingine upande wa pili! Anakuja kushtuka gari imejaa full tank mafuta yanamwagika pump yake inasoma 150,000!

Hahaaaa nadhani huyo mteja alitamani awe na madiaba yameonganishwa reserve tank
 
As thrifty as I am, I can stretch that 10K like a rubber band.

In this climate I can't afford to spend any monies neither in a harum-scarum way nor with reckless abandon.

Times are hard and frugality is the name of the game.
Afu ukiitwa mzee unashangaa...

Sasa hapa si mpaka watu wapekue oxford dictionary??
 
Back
Top Bottom