Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye malori huko balaa. Kama hujadhibiti mafuta biashara itakushinda.Wenye malori huwa tunawafungia sensor kwenye matanki ya gari zao so wakijaza mafuta wanapa alert kupitoa alert ni litangapi zimewekwa hapo huwezi ibiwa kabisa.
Mungu anakuona. Kuna mtu alinisimulia stori kama hii au nilisoma JF alitoa 40,000 sasa muhudumu na haraka zake akaweka auto mode akabonyeza 400,000 akaenda kujaza gari ingine upande wa pili! Anakuja kushtuka gari imejaa full tank mafuta yanamwagika pump yake inasoma 150,000!juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
Wanaokataa kuweka kwenye kidumu ujue ni wezi...Wengine wanakataa kuzaja kwenye dumu. Nadhani ndiyo zenye matatizo
180,000 ilikuwa gari gani, au ilikuwa ni truck!?juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
Muongo huyo. Hairuhusiwi kuweka kwenye vidumu/madumu ya maji kama UHAI,MAISHA etc...ila vidumu kama vya total oil wanaweka.Wanaokataa kuweka kwenye kidumu ujue ni wezi...
Yeye: Bro hatuweki kwenye dumu, gari liko wapi?
Mimi: Sihitaji mafuta kwa ajili ya gari
Yeye: Sasa unahitaji ya nini
Mimi: Jenereta
Yeye: Hapana bro, haturuhusiwi kuweka kwenye kidumu kwa sababu za kiusalama
Mimi: Kushoto, kulia, kushoto kulia... mpaka kwenye kibajaji changu.... Huyoooo na hela zangu salama.
Mkuu Hii Gari Gani Mkuu,??juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
God is watching[emoji19]juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
Sikutaka kubishana na yule mwehu wakati mita mia tu mbele kuna kituo kingine...Muongo huyo. Hairuhusiwi kuweka kwenye vidumu/madumu ya maji kama UHAI,MAISHA etc...ila vidumu kama vya total oil wanaweka.
Acha kabisa komredi... Buku 10 unagonga bapa la nyagi na kongoro lako safi... unabakiwa na kazi ya kuongea kiingereza kama cha Nyani Ngabu bila kokoro.
Kumbe mkuu unaijua hii kitu,acha kabisa.Hongera. Ukiniambie nichague RX300 na Prado (used) nachukua RX300. RX inakula wese lazima uwe makini.
Kwenye malori huko balaa. Kama hujadhibiti mafuta biashara itakushinda.
Mungu anakuona. Kuna mtu alinisimulia stori kama hii au nilisoma JF alitoa 40,000 sasa muhudumu na haraka zake akaweka auto mode akabonyeza 400,000 akaenda kujaza gari ingine upande wa pili! Anakuja kushtuka gari imejaa full tank mafuta yanamwagika pump yake inasoma 150,000!
Afu ukiitwa mzee unashangaa...As thrifty as I am, I can stretch that 10K like a rubber band.
In this climate I can't afford to spend any monies neither in a harum-scarum way nor with reckless abandon.
Times are hard and frugality is the name of the game.
Nadhani cruiser zenye jumla lita 87-90 zinafikisha hio. Ukiangalia na bei zilizopita pia ilikua mpaka 2300 kwa lita180,000 ilikuwa gari gani, au ilikuwa ni truck!?