Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito


Madhara mengine ya p2 ni yapi mkuu
 
Umekaa kibiashara mno.... Sorry kama utakuwa irritated.
Sijakaa kibiashara nimesha wasaidia watu wengi humu ndani na hawaleti Mrejesho nimeshachoka kuwasaidia watu bure mimi ninapata faida gani?Mimi sio Tajiri ni mtu wa kawaida na sisi Wa-Tanzania tunapenda kusaidiwa kila mara itafika wakati yule anaye kusaidia atataka umlipe na je wewe utaweza kumlipa? Utaweza kumlipa punda anaye kubebea mzigo wako kila siku bila ya kusema kuwa amechoka?
 
Hiyo....p2 kwa kweli hapana .. inasaidia ila inachelewesha hupata hedhi.... Had I miezi sita inachukua hujabld......as hapo c hutamstresstsha huyo binti...... Ye agonge tyuu hizo Lita za mma
....au jumbe kujolea nje..
 
vipo vidonge vya dharula vinaitwa 72 anameza ndani ya Masaa 72 yaan ndani ya siku tatu tangu afanye tendo hawezi kupata mimba.

note. sio vizuri kuzizoea kila mwezi.

hizi 72 zinatumika kwa dharula mfano mtoto kabakwa kapelekwa hospital mda huo huo hizi dawa ndo zinatumika.

au kwa wale ambao ni walimu hamjawai kuona mfano mwanafunzi kabakwa wanasisitiza kumkimbiza hospital?? hizi dawa ndo wanawapa. na unameza zote at once. ma Dr mnajua Dawa hii
 
Hz aina za uzazi wa mpango za kisayansi zinaleta changamoto sana. Kuna dada1 rafiki yangu alikua akipata shida kwa ndoa yake ana watoto3 akaamua kufunga kabisa uzazi weeee hua anaumwa mara kwa mara
Njia zote ni mtihani...si mjiulize ni vipi mpaka leo haijapatikana njia rahisi ya kutatua hili tatizo...hii inaonyesha aliyetuumba haungi mkono kufanya tendo hovyo bila malengo.
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
Mmmmmh!! Mwisho mfanye kama yale ya watoto unapompigisha mswaki anameza dawa alafu anatema mate.
 
Kabla hamjafanya achukue kitambaa kilaini kitafaa kile cha bandeji achovye mafuta ya castrol oil hicho kitambaa kiwe kimezungushwa kama kgoroli na kiuzi cha kuning'inia ili kutoa kwa urahisi aingize kwa bibi nusu saa tu mpige show no mimba
Hivyo vitu vya kuingiza havikawii kuwa na madhara baadae kama sio sasa hivi...saratani ya kizazi inavyosumbua nadhani ni bora kukwepa kuingiza bila utafiti wa kutosha kwanza.
 
Katika hayo majaribio ikitokea akipata mimba afanye nini?
 
Madhara mengine ya p2 ni yapi mkuu
P2 inahamisha mzunguko wa hedhi.mfano msichana akimeza p2 akawa mzungukobwake say anataraji kuanza trh 20 basi inawezarushwa hata majuma mawili mbele ila baada ya hapo anastabilize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…