LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,117
- 1,343
bro mbona thread yako siku hainekani ya magari mazuriToyota Ist 4wd exhaust yake inakua upande wa kushoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro mbona thread yako siku hainekani ya magari mazuriToyota Ist 4wd exhaust yake inakua upande wa kushoto
Ninachojua, kuna IST NCP65 zenye AWD na sio 4WD. Ni mifumo inayokaribiana lakini haifanani. Kina nyuzi kadhaa humu tumeshajadili tofauti mbalimbali kati ya hiyo mifumo.hahahaha.....IST ina 4WD ??, jamani...em msitufanyie hivyo bana....
Sawa.Kama nilivyokuambia hata hio Hilux uliyoiweka na IST hio tofauti yake ni 200kg swala sio kukurupuka wewe ndo uliyekua huelewi umetaja Hilux bila kusema ni ipi hivyo vidogo au zile kubwa mwisho wa siku nasema hivi hakuna sehemu inase Hilux ije kupita IST
[emoji28][emoji28][emoji28] ndugu, kuna zile Hilux fupi (kwenda chini) nadhani zina injini kama ya Hiace. Nadhani ndio hio aliyo nayo mwenzetu. Zile huwa hazina 4WD.We ni chizi tu na hilux yako ya makopo inayoshindwa kupiga kazi na ka IST.
We jamaa sijui ndio kichwa kitupu au ndio kupenda ubishi usio na akili. Hilux Single Cabin haina 4WD na hata yeye hajasema ina fourwheel, kwa hiyo lazima itazidiwa uwezo na IST ikiwa hiyo IST ina four wheel drive. Au ni nini kigumu kuelewa hapo?Sawa taahira mwenye Hilux ambayo 4wd yake inashindwa kupita lkn IST 4WD inapita.
Enhee, nafikiri we umeelewa kama mimi. That simple[emoji28][emoji28][emoji28] ndugu, kuna zile Hilux fupi (kwenda chini) nadhani zina injini kama ya Hiace. Nadhani ndio hio aliyo nayo mwenzetu. Zile huwa hazina 4WD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kichwa chako kimejaza magovi ya mbwa kichwani.We jamaa sijui ndio kichwa kitupu au ndio kupenda ubishi usio na akili. Hilux Single Cabin haina 4WD na hata yeye hajasema ina fourwheel, kwa hiyo lazima itazidiwa uwezo na IST ikiwa hiyo IST ina four wheel drive. Au ni nini kigumu kuelewa hapo?
Hapo kweliGari Inayovuta mbele ni FWD(Front-wheel drive) na sio 4WD.
Injini zake huwa n 2y kwa petrol na 2l kwa diesel,,,unavyosema injin ya hiace hata zile kubwa zinashare engine na hiace kwa 3l & 5l[emoji28][emoji28][emoji28] ndugu, kuna zile Hilux fupi (kwenda chini) nadhani zina injini kama ya Hiace. Nadhani ndio hio aliyo nayo mwenzetu. Zile huwa hazina 4WD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toleo la NCP65 ni 4WDSijawahi ona IST yenye 4WD mwenye kujua hii gari atuwekee hapa hata picha
Gari zote hizo(hilux na hilix surf) zina engine moja kama ni 2L,3L na 1KZ chassis moja hata kama ni nyepesi hio hilux tofauti yake ni 200Kg kwaio kiuhalisia hakuna sehemu itakayo kua na mchanga mkubwa kuishinda hizo gari mbili yani sehemu ikwame Hilux ije ipite IST
Ebu ongeza nyama mr JITUKuna utofauti mkubwa mwenye FWD na RWD mkipita kwenye mchanga.
RWD anaweza baki.
Zipo nadhani zina CC 1,700Sijawahi ona IST yenye 4WD mwenye kujua hii gari atuwekee hapa hata picha
Kumdhalau mtu mwenye dhamana ya kukopeshaka mamilioni au vitu vya mamilioni, ni ujinga uliokidhili.We ni chizi tu na hilux yako ya makopo inayoshindwa kupiga kazi na ka IST.
Angalia Post #2Sijawahi ona IST yenye 4WD mwenye kujua hii gari atuwekee hapa hata picha
FWD kwa maans ya Front Wheel Drive au Four Wheel Drive?Kuna utofauti mkubwa mwenye FWD na RWD mkipita kwenye mchanga.
RWD anaweza baki.
Sasa IST unataka 4WD ya nn?Habari wakuu, nahitaji kununua hii gari Toyota(ist)nafahamu kuna za cc1200 na cc1400, lakin nimeambiwa niwe makini hiz za cc1400 nyingi ni zina option ya 4WD na baadhi hazina, so naomba msaada nitumie vigezo vipi kufahamu yenye 4WD na isiyo na 4WD maana nahitaji ya cc1400 isiyo na 4WD .
Popote labda hapo hapo Tandika4WD ni nzuri maana popote waenda bila kuogopa
Front Wheel DriveFWD kwa maans ya Front Wheel Drive au Four Wheel Drive?