Jinsi ya kufahamu ist with 4WD na isiyo na 4WD .

Jinsi ya kufahamu ist with 4WD na isiyo na 4WD .

Sijui kichwa chako kimejaza magovi ya mbwa kichwani.

Punguza shobo.

dodge
Huko ninkuota ndoto za mchana yaani Ist 4 wheel drive iizidi hilux kweli hata kama sio four wheel mkuu ur wrong kwa logic zako na hako ka beby walker
 
Habari wakuu, nahitaji kununua hii gari Toyota(ist)nafahamu kuna za cc1200 na cc1400, lakin nimeambiwa niwe makini hiz za cc1400 nyingi ni zina option ya 4WD na baadhi hazina, so naomba msaada nitumie vigezo vipi kufahamu yenye 4WD na isiyo na 4WD maana nahitaji ya cc1400 isiyo na 4WD .

Kwa nyuma exhaust imelala horizontal, haijaja moja kwa moja
 
Back
Top Bottom