Jinsi ya kufahamu ist with 4WD na isiyo na 4WD .

Sawa.
 
Huu uzi kuna wajuzi wengi.... Nipo mbioni kuagiza gari pia...

IST nyeusi, mwaka kuanzia 2007 na kuendeleaa.


Kuna kitu sikielewe kwenye makadirio ya tra na kwenye specification ya gari & website ya beforwad.

MOJA
Naomba kuelekezwa... Gari kama iliwahi pitia marekebisho kama vile kunyooshwa body, kubadilishwa engine n.k kuna sehem yeyote kwenye site ya beforwad huwa wanaelezea!?? Maana niliwah kuta sehemu jamaa anasema ukiona R ujue ni repaired sijuh... Mara nkakuta kuna mtu gari safi ila ndani ilikuwa na demage kama body imenyooshwa n.k
Sasa nahitaji kujua ili niwe makini katika kuchagua gari na sio kudanganywa na ubora wa camera.



MBILI.
Kuna zile NCP 60/61 na zile NCP zingine haswa katika gari za Toyota IST. Zile ni stand for what.. Na je zina umuhimu gani wa kuzifatilia katika kuchgua gari bora au katika kubalance kodi tra.


TATU
Kwenye makadirio ya tra ni kitu kinafanya kodi iongezeke au kupungua.. Maaana sometime gari sawa ila unakuta ingine inamzid kodi ingine... Ni kampuni, au manufactured date au ni vitu gani vingine vingine.

NNE.
Lengo ni kununua gari IST model ya 2007 kwenda juu... Bajeti isizid 13M gari iwe mkonon... Msaada wenu ni mbinu za kuoata kitu kizuuri katika kuchagua na kufanya malipo mbali mbali... Uzoefu wangu mkubwa ni beforwad..

Na pia naomba kujua tofauti, ukiachana na hofu ya kupoteza pesa, je kuna tofauti gani kati ya kutumia wakala au kufanya mwenyewe ntandaon(taaluma ninayo ya kutumia online marketing) kuna mtu aliwahi kuniambia wale jamaa huwa wana watu wao japan wanachagua gari face to face.. Kuna ukweli hapo.


Msaada wadau... Na mengine nisiyoyauliza pia kama yana msaada naomba kuelekezwa.
Shukran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa taahira mwenye Hilux ambayo 4wd yake inashindwa kupita lkn IST 4WD inapita.
We jamaa sijui ndio kichwa kitupu au ndio kupenda ubishi usio na akili. Hilux Single Cabin haina 4WD na hata yeye hajasema ina fourwheel, kwa hiyo lazima itazidiwa uwezo na IST ikiwa hiyo IST ina four wheel drive. Au ni nini kigumu kuelewa hapo?
 
We jamaa sijui ndio kichwa kitupu au ndio kupenda ubishi usio na akili. Hilux Single Cabin haina 4WD na hata yeye hajasema ina fourwheel, kwa hiyo lazima itazidiwa uwezo na IST ikiwa hiyo IST ina four wheel drive. Au ni nini kigumu kuelewa hapo?
Sijui kichwa chako kimejaza magovi ya mbwa kichwani.

Punguza shobo.

dodge
 
[emoji28][emoji28][emoji28] ndugu, kuna zile Hilux fupi (kwenda chini) nadhani zina injini kama ya Hiace. Nadhani ndio hio aliyo nayo mwenzetu. Zile huwa hazina 4WD.

Sent using Jamii Forums mobile app
Injini zake huwa n 2y kwa petrol na 2l kwa diesel,,,unavyosema injin ya hiace hata zile kubwa zinashare engine na hiace kwa 3l & 5l

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Kuna utofauti mkubwa mwenye FWD na RWD mkipita kwenye mchanga.

RWD anaweza baki.
 
We ni chizi tu na hilux yako ya makopo inayoshindwa kupiga kazi na ka IST.
Kumdhalau mtu mwenye dhamana ya kukopeshaka mamilioni au vitu vya mamilioni, ni ujinga uliokidhili.

Ukiona mtu anakopeshwa maana ana kipato cha kulipa hilo deni.
Mkopo unaweza kukutoa hatua moja kwenda hatua ya pili.
 
Reactions: Ilu
Sasa IST unataka 4WD ya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…