Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

keydu

Senior Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
124
Reaction score
190
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.

Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.

Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.
 

Ahsante Mkuu kwa majibu niliyoyapata baada ya kuangalia namuomba tu Mwenyezi Mungu kukuche haraka ili Kesho nikachague namba mpya za Simu.
 
mm nijulishe namna ya kufoward
 
Pole mkuu inaonyesha umekuta makubwa mpaka unatamani kukuche

Yaani hata sasa hivi Saa 6 hii inaenda na Robo ya Usiku ningekuwa najua Kijiwe / Kibanda cha Kusajilia namba ningewahi niende kwani nimedukuliwa hadi nimedukuka Mkuu. Hivi kwanini Binadamu hatukupewa uwezo wa ' Kuifowadi ' Siku au Usiku na Mwenyezi Mungu ili tuweze ' Kujiokoa ' na dhahama kama hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…