Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.

Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.

Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.View attachment 786304
Unapocy habari au taarifa sehemu credit the source, huo ndio ustaarabu.
 
Single mama kashazinguliwa huko,labda aliambiwa mwisho wa week hii atatumiwa hela ya matunzo ya mtoto sasa anaona hela yenyewe hatumiwi muda unaenda hata dalili haoni hapo alipo stress zimemjaa hata kama mtu kakosea number lazima matusi ayaoge.[/QUOTE
.

mmnh hapa JF watu wengine wanakuja humu kutoa mafrustration yao,naona na wewe ni mmojawapo,ushaongea umepunguza stress,haya nenda kalale ,single maza,menopause ndio matusi yenu humu...tuyazoea leta mapya..
 
............Sawa mie naenda kulala ila matusi mapya ni hayo uliyoyaleta wewe.

Unajitukana kwa kitu ulichokibeba mwenyewe,hii si ajabu hii?!

Sorry mkuu,tusikwaruzane tuache lipite tu.
 
Back
Top Bottom