Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ulitukana sana mkuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Vp imeishaje kijana?I wish ningejua mapema, nimedukuliwa juzi hapa na jamaa mmoja alikuwa anafuatilia chatting zetu mimi na mdogo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro labda ujafanya utafiti vizuri kaangalie call forwarding katika voda halafu utasema mtu anakufatilia.call forwarding ya voda kama sikosei ni 0754250250 hii unapoiweka katika call forwarding when not reachable namba yoyote itakayokupigia usipikua hewani ukiwasha simu unaletewa ujumbe kua you missed the following callsHiyo unaoiongelea ni voice mail ambapo ukimpigia mtu simu hapatikani itakutaka uache ujumbe wa sauti ambapo mhusika akiwasha simu ataweza kuusikiliza. Hii huduma ni ya kulipia. Mfano mzuri ni tigo
Ila call forwading unaweka namba mbadala yaan unapopogia ikiwa namba yako haipatikani ai upo busy utaweza kupokea kupitia namba nyingine. Mfano.
Ww namba yako ni 075 halafu umeweka 0713 mtu akikupigia haupatikani au uko busy (no reply) itaenda kweny namva 0713 hapa itakulazimu uwe na salio la mitandao yote au km unasalio kwenye. Km namba yako ni tigo halafu ukaweka ya tigo hapo haina haja ya kuwa na kifurushi cha mitandao yote. Hapo unatumia kifurushi chako.
N:B
Ulichozungumzia ni voice mail na siyo call forwarding
Bro labda ujafanya utafiti vizuri kaangalie call forwarding katika voda halafu utasema mtu anakufatilia.call forwarding ya voda kama sikosei ni 0754250250 hii unapoiweka katika call forwarding when not reachable namba yoyote itakayokupigia usipikua hewani ukiwasha simu unaletewa ujumbe kua you missed the following calls
Yana kwa call forward ingekua ni rahisi namna hio mtu kupata meseji zako au kupata audio call zako ambazo ni recorded ushetani katika mahusiano ungekua umeisha ama watu wengi wangekua wanapata madhara kwa ambacho wangekua wanakiona kwenye simu za wapenzi/ndugu/jamaa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo salama?Kumekucha
Salama SalminUpo salama?
🤣🤣🤣Kwangu majibu yote ni fowarded nimemkwida mtu nyumbani
Umejuaje mkuu?Pambafu kabisa, bosi wangu wa kike kumbe ndo ananifuatilia baada ya kumpiga tarehe kumwoa. Sijui nifanyeje maana sina mpango wowote na yeye. Nampiga kalenda ili kulinda ugali wangu na kazi
shukran mkuu kwa shule, kama ukipiga simu ikiwa inaonyesha "CALL FORWARDING ON" inamaanisha nini?Habari wakuu Leo nitawaonyesha [emoji116] [emoji116]
JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE
Hii ni maalumu kwa wale wasio Fahamu, Kama unafahamu Hata Njia nyingine zaidi ongezea...
Piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa monitoring device kwenye namba yako.
Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.
Asante mkuu kwa uungwana [emoji122][emoji122][emoji122].piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa monitoring device kwenye namba yako.
Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.View attachment 786304
Sanajf ni zaidi ya maarifa