Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh basi ni ukumbusho tuImejirudia hii
Pamoja sana ndugu....Ooh basi ni ukumbusho tu
Nimecheka jinsi ulivyomwagia "maji machafu" kama ukonnae face to face vile!ngoja tu mperuzi tujue ni nani huyu adiye na adabu dada!samahani wakuu,nimecheck sikutegemea kuna mtu ananiwinda??was shocked,angry and confused nilivyoiona hio number...sina ma baby dad mimi na ex wangu tuliachana kitambo…kiruuu 🙁🙁
ni kweli si umeona rebecca keshakamata dukuzi huko!Mie nashauri hii topic iwe sticky ni moja ya topic zinazowafungua watu na usalama wao,,,thanks,na sorry kama nimewakwaza
Ume react sawa tu ucijalMie nashauri hii topic iwe sticky ni moja ya topic zinazowafungua watu na usalama wao,,,thanks,na sorry kama nimewakwaza
Hiyo unaoiongelea ni voice mail ambapo ukimpigia mtu simu hapatikani itakutaka uache ujumbe wa sauti ambapo mhusika akiwasha simu ataweza kuusikiliza. Hii huduma ni ya kulipia. Mfano mzuri ni tigoPunguzeni jaziba zipo huduma watu ujiunga wenyewe kama za voice mail. Kwa kujua au kutojua when not reachable za mitandao mbalimbali number kama 07802091904 inaweza kuwa si mteja itakuwa inahusika na mtandao kwenye huduma au mhisika alikosea yote yanawezekana mfano sasa tigo wameanzisha huduma hiyo na mwanzo walimuingiza kila mtu, a kuzima simu utasikia mteja haipatikani ila baada ya tone record sauti, mtu mwenye huduma hiyo akipiga hiyo anaweza kukuta kuna forwarded *#61# so ingawa kwa uzoefu wangu call forwarding ni gharama lazima uwe na salio la pesa sio mda wa kifurushi ili hiyo call iweze kuwa forwarded kwenye number husika, huduma hiyo pesa ukawa mara mbili kwa aliyepiga na wewe mwenyewe kwenye simu yako na sio kifurushi, na kuna wakati kama huna pesa na simu imezimwa ilikuwa mpigaji anapokea ujumbe ukisema salio lako halitisho kupiga simu, mimi binafsi niliwahi kuweka vocha mpaka 5000 bado naambiwa salio halitoshi, tangu nimejifunza mambo ya mawasiliano bado sms forwarded haijawai kufanyika hapa labda kwenye mambo ya usalama, tu asante kwa kuwashilisha mwenye la kuongeza kupiga ruksa
Call forwarding, or call diversion, is a telephony feature of some telephone switching systems which redirects a telephone call to another destination, which may be, for example, a mobile telephone, voicemail box or another telephone number where the desired called party is available. Call forwarding was invented by Ernest J. Bonanno.[1] In North America, the forwarded line usually rings once to remind the customer using call forwarding that the call is being redirected. More consistently, the forwarded line indicates its condition by stutter dial tone. Call forwarding typically can redirect incoming calls to any other domestic telephone number, but the owner of the forwarded line must pay any toll charges for forwarded calls. Call forwarding is often enabled by dialing *72 followed by the telephone number to which calls should be forwarded. Once someone answers, call forwarding is in effect. If no one answers or the line is busy, the dialing sequence must be repeated to effect call forwarding. Call forwarding is disabled by dialing *73. This feature requires a subscription from the telephone company. Also available in some areas is Remote Access to call forwarding, which permit the control over call forwarding from telephones other than the subscriber's telephone. VOIP and cable telephone systems also often allow call forwarding to be set up and directed via their web portals.Hiyo unaoiongelea ni voice mail ambapo ukimpigia mtu simu hapatikani itakutaka uache ujumbe wa sauti ambapo mhusika akiwasha simu ataweza kuusikiliza. Hii huduma ni ya kulipia. Mfano mzuri ni tigo
Ila call forwading unaweka namba mbadala yaan unapopogia ikiwa namba yako haipatikani ai upo busy utaweza kupokea kupitia namba nyingine. Mfano.
Ww namba yako ni 075 halafu umeweka 0713 mtu akikupigia haupatikani au uko busy (no reply) itaenda kweny namva 0713 hapa itakulazimu uwe na salio la mitandao yote au km unasalio kwenye. Km namba yako ni tigo halafu ukaweka ya tigo hapo haina haja ya kuwa na kifurushi cha mitandao yote. Hapo unatumia kifurushi chako.
N:B
Ulichozungumzia ni voice mail na siyo call forwarding
Una matusi makali mkuu , duuuhMie nashauri hii topic iwe sticky ni moja ya topic zinazowafungua watu na usalama wao,,,thanks,na sorry kama nimewakwaza
Mmmhme naomba namna ya kuunga diverts na nikwaajiri ya usalama wa mahusiano yangu
Asante mkuu,ngoja nifute post,na wewe futa,lol
[/QUOTEkumbe una matusi kiasi hicho