Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

Mh!! Nimedukuliwa, sijui kwa mipango ipi tena!!

Hukutoa labda mchango wako wowote hasi wa Kimawazo juu ya upotevu wa zile 1.5 Trillion Shillings au Kushabikia yaliyokuwa maandamano ya Mwanaharakati wa zamani na Mwanamitindo mpya wa Kipare anayeishi Jijini Los Angeles kwa Donald Trump?
 
Mh hii dhahama ya kudukuliwa imenikosakosa maana unaweza ghafla kujikuta ndani ya kiroba mto ruvu.
 
ukipiga kama mtu anakufatilia itaonyesha number ya huyo mtu "Fowarded to like 07894567234,lol nimegoogle hio number sijapata majibu ya kuridhisha,lol sijui ni li robot?lol
....kumuondoa huyo mdukuaji piga ##21#
 
Mi swali langu hao wadukuaji wanaduakuaje km simu yako hajawahi kuishika hata kidogo?au ni mtu mnayefahamiana ndiye anaweza kukudukua???Wajuvi msaada hapa
 
Unapocy habari au taarifa sehemu credit the source, huo ndio ustaarabu.
Dah...hata Mimi nimeshangazwa...

Call forwarding zipo 4.... Unconditional (wakati wowote.... Busy ( ukiwa unaongea na Simu nyingine)......no answer ( ikiita bila kupokeleea)....na not reachable (isipopatikana)..
Features zote hizi zimewekwa kwenye mfumo ili kumrahisishia mawasiliano mtumiaji....na huwekwa na mtumiaji mwenyewe...na Simu Yake huonyesha kuwa ameweka hiyo Huduma..
Huduma nyingine kama kujua aliyekupigia wakati haupatikani au ujumbe wa sauti ndiyo hufanywa na mtambo kwa kutumia codes fupi ikishirikiana na Server na baadaye inakutumia kwenye Simu yako.... Ni vigumu sana kuforward SMS kwa sasa

Njia inayokuwezesha kusikiliza Simu ya mtu ...tena yaliyorekodiwa...ni kuweka apps maalum ambazo hurekodi mazu gumzo na matukio mengine ya Simu kisha kukutumia kwa siri.....

Tusitishane banaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wakuu Leo nitawaonyesha [emoji116] [emoji116]

*JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE*

Hii ni maalumu kwa wale wasio Fahamu, Kama unafahamu Hata Njia nyingine zaidi ongezea...


Piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.

Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.

Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.
 
Back
Top Bottom