Jinsi ya kufanikiwa kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kiroho, kirahisi kabisa

Very interesting.

Itakuwa heri sana ugombee ubunge tuushuhudie huo muujiza wa kuingiza utawala wa Mungu na HAKI yake ndani ya bunge la CCM. Tafadhali.
Inawezekana ndugu,

Nipo hapa kuinua mioyo iliyokata tamaa, wajue kuwa Mungu anaweza kufanikisha mtu hata katika nafasi hizo za juu.

Wanahitajika wengi wanaotamani HAKI na kuchukia RUSHWA wagombee uchaguzi ujao katika nafasi mbalimbali, wasiishie kulalamikia bila kuchukua hatua.

Mimi ni askari Toka Mbinguni, Mungu akiniambia chukua fomu, asubuhi na mapema nitachukua.

Nakushauri pia kama unatamani kuwa kiongozi wa mfano Nchi hii wa kumtumikia Mungu katika siasa, gombea na weka AGANO na Mungu,utatoboa.

Ubarikiwe 🙏
 
Andiko zuri mtumishi lakini tuweke kumbukumbu sawa, ukiweka nadhiri hakikisha unaitimiza usipoitimiza utakuwa na hatia. Ni heri usiweke kabisa nadhiri kuliko kuweka na usiiondoe

Yesu alisema msiape, maana hamuwezi kuufanya unywele mweupe kuwa mweusi.
 
Salaam, Shalom!!

Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk, lakini Bado malengo Yao hayafanikiwi Kwa hatua za kuridhisha.

Neno la Mungu lasema katika
( Yakobo 4:3)
"Mwaomba Wala hampati, Kwakuwa Mwaomba vibaya, Ili mvitumie Kwa tamaa zenu wenyewe"!!

Ujumbe huo hapo juu haukuandikwa Kwa ajili ya wapagani, Bali Wana wa Mungu,

Hivi kijana, unasugua goti ukiomba Mungu akujaalie upate deal zuri katika KAZI zako Ili upate gari Kwa ajili ya kumfurahisha mchumba wako, Unadhani utajibiwa kirahisi?

Unapiga goti ukimwomba Mungu akutajirishe Ili maadui wako wakuheshimu, Unadhani utajibiwa kirahisi?

Mwingine uko kitandani unaumwa cancer au gonjwa hatari, ukimwi Kwa Mfano, unamwomba Mungu akuponye lakini huweki AGANO nae kuwa ukiponywa utafanya nini Kwa ajili ya Mungu, sahau kujibiwa.

Mimi Rabbon, nilipooa, nilikuwa napata shida sana Kila Jumapili sababu palikuwa na shida sana ya USAFIRI, nilimwomba Mungu anijalie nipate gari Ili gari Hilo linisaidie kuwahi Kanisani jumapili na litumike kusaidia huduma Kanisani, na nilimwomba Mungu anijalie ninunue gari Hilo baada ya mwaka mmoja sababu sikuwa na pesa za kutosha, Cha kushanga nilipata gari ndani ya miezi SITA tu.

JINSI YA KUJIBIWA MAOMBI YAKO KIRAIHISI!!

1. SIASANI
Ikiwa umepanga kugombea, na ungependa Mungu akusaidie kushinda Udiwani, ubunge, Urais nk nk, weka AGANO na Mungu, Mwambie hivi, Mungu wangu ukinifanikisha kuwa mbunge, nk nk, nitahakikisha Ufalme wako Mungu unaingia bungeni, nitahakikisha HAKI inatawala ndani ya bunge na Kwa wananchi, utafanikiwa kirahisi.

2. KIUCHUMI
Wengi mmefungua biashara na mnamwomba Mungu awatajirishe, lakini hamsemi mkipata utajiri mtafanya nini Kwa ajili ya INJILI. Hamuweki AGANO na Mungu kuwa mtatumia vipi utajiri wenu kuhakikisha watoto mitaani wanaishi vizuri na kupata mahitaji Yao, wajane nk nk!!

3. KIJAMII
Wengi mnatamani mfanikiwe katika huduma mzifanyazo, mnatamani kufahamika, lakini hamweki AGANO na Mungu kuhusu jinsi mtakavyitumia kufahamika kwenu kuwaleta wengi Kwa kristo, kamwe hamtatoboa msipofanya hivyo, sababu mnaomba vibaya Ili mpate hayo Kwa tamaa zenu.

4. MAHUSIANO NA NDOA.

Ulipokuwa single, bachelor ulimtumikia Mungu vizuri, ukaomba Mungu akupe NDOA, Kweli Mungu kakupa mume/ mke mzuri, Cha ajabu tangu umeoa, Kanisani huendi tena, maombi hufanyi tena, huduma huendi tena,

Sasa Kwa kuwa Mungu anapenda umtumikie kama zamani, ataruhusu huyo mume akutese vilivyo, huyo mke akutoe JASHO Kwa kukupiga matukio, Ili urudi tena Kanisani, urudi magotini ujue yupo Mungu na urudi kumtumikia, makinika!!

Yatosha Kwa sasa, mbarikiwe🙏

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN

Karibuni 🙏.
Sahihi kabisa
 
Andiko zuri mtumishi lakini tuweke kumbukumbu sawa, ukiweka nadhiri hakikisha unaitimiza usipoitimiza utakuwa na hatia. Ni heri usiweke kabisa nadhiri kuliko kuweka na usiiondoe

Yesu alisema msiape, maana hamuwezi kuufanya unywele mweupe kuwa mweusi.
Ni Kweli kabisa, ukiweka nadhiri usiitimize ni kujitafutia LAANA.

Kuna wakati inabidi kuweka nadhiri, na mara nyingi Mungu huruhusu mtu abanwe kwenye Kona ya matatizo Ili ajitwalie utukufu.

AGANO ni advanced Dhamira, hili hata usipotimiza litaendelea kukufuata vizazi na vizazi,

Utaona familia za viongozi wataendelea Kutokea viongozi, wabunge Marais nk nk

Ukoo wa machief, wachawi, maskini kadhalika.

Sasa ikiwa umetokea family duni maskini, na huipendi Hali hiyo Kwa wanao, weka AGANO na Mungu.

Tamka maneno, ongea na Mungu, ikibidi toa na sadaka baada ya NADHIRI/ AGANO Hilo Ili kubadili future ya watoto na wajukuu, vizazi na vizazi.

Wa Giza hufanya hivyo, pia sisi wa Nuru tumeruhusiwa kufanya hivyo.

Mungu akubariki🙏
 
Uzi mzuri Kwa sisi watu wa rohoni imezidi kilniongezea spiritual muscles, more blessing mtoa mada
Ubarikiwe pia.

Mungu ni Mungu wa Utaratibu ,sheria na KANUNI,

Ikiwa Kuna jambo unatumia Kila njia hufanikiwi, KATA RUFAA, JILIPUE, Nenda Mbele za Mungu mpe offer, kwamba,

Ukinifanikisha jambo hili, nitakupa hiki na kile,

Muhimu ni usivunje AGANO.

Ubarikiwe 🙏
 
Hakuna kitu shetani na ufalme wa Giza unaogopa kama maombi ya WATAKATIFU.

Maombi huambatana na Imani, ni HAKIKA na Kila ukiombacho na kukitamka kinatokea hapo hapo katika Ulimwengu wa Roho.

Mimi Kuna siku nilikuwa nimekaa sebuleni, nikapata msukumo na mawazo ya kumuombea baba yangu aliye mbali huko kwetu,

Nilianza kuomba na nikajikuta namuombea Mungu amuokoe, na sikujua ni Kwa sababu Gani, nilijikuta namuombea Kwa zaidi ya masaa mawili Hadi usiku wa manane, na nilipolala pia nilijikuta naendelea kuomba katika Roho usingizini.

Palipokucha, nilipigiwa simu Toka nyumbani nikiambiwa, baba yangu alipata shambulio katika AFYA yake na alifikia hatua ya kuzimia na jambo Hilo lilileta HOFU kuu Kwa familia.

Nilipouliza muda wa tukio nikaambiwa, ni muda Ule Ule nilipokuwa nikiomba. Na baada ya nusu saa, alizinduka na akawa salama tena.

Maombi ni vita, inadhoofisha sana ufalme wa Giza, ndio maana ukipanga nyumba Kwa mchawi na ukawa unaamka kuomba lazima akuchukie, sababu maombi yanaharibu KAZI za Giza na waovu,

Si Rahisi kuomba, wengi hujaribu wasiweze,

Ikiwa umepata neema hiyo endelea kuomba na uwaombee wengine maana wengi sana huokolewa kupitia maombi ya wengine.

Mungu akuzidishie Ari ya kuomba zaidi na zaidi.

Ubarikiwe 🙏
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Ni Kweli kabisa, ukiweka nadhiri usiitimize ni kujitafutia LAANA.

Kuna wakati inabidi kuweka nadhiri, na mara nyingi Mungu huruhusu mtu abanwe kwenye Kona ya matatizo Ili ajitwalie utukufu.

AGANO ni advanced Dhamira, hili hata usipotimiza litaendelea kukufuata vizazi na vizazi,

Utaona familia za viongozi wataendelea Kutokea viongozi, wabunge Marais nk nk

Ukoo wa machief, wachawi, maskini kadhalika.

Sasa ikiwa umetokea family duni maskini, na huipendi Hali hiyo Kwa wanao, weka AGANO na Mungu.

Tamka maneno, ongea na Mungu, ikibidi toa na sadaka baada ya NADHIRI/ AGANO Hilo Ili kubadili future ya watoto na wajukuu, vizazi na vizazi.

Wa Giza hufanya hivyo, pia sisi wa Nuru tumeruhusiwa kufanya hivyo.

Mungu akubariki🙏
Mkuu samahani lakini unasali wapi natamani kujumuika nawewe siku moja
 
Barikiwa mtumishi.

Ni vyema pia ukashare nasi experience Yako juu ya mchango wa maombi katika mafanikio Yako kiujumla ukiweka na Shuhuda ikikupendeza Kwa uelewa wa wengi.
Mara baada ya kumaliza form six , nilibahatika kujiunga na chuo kikuu na kwenda kusomea Udaktari wa binadamu ( Doctor of Medicine) . Nilijihisi furaha wakati huo na kuona tayari nimeshatoboa maisha . Nilipokuwa chuoni nilijikita zaidi kusoma kwa bidii huku nikimuomba Mungu kama kawaida yangu . Mwaka wa kwanza hadi wa tatu , masomo yalikuwa yanaenda vizuri na nilikuwa nafaulu vizuri mpaka nikajizolea umaarufu darasani na chuoni kwamba nina akili . Wasichana wazuri walikuwa wanatamani waolewe na mimi au niwe nao kwenye mahusiano , lakini nilikuwa sina muda nao. Ilikuwa ni mimi na shule , shule na mimi . Kwa kweli Mungu alikuwa ananisaidia , siku za mitihani wenzangu walikuwa wanakesha wanasoma ( Medical School mambo ni mengi ) lakini mimi siku za mitihani nilikuwa sisomi sana , nilikuwa nachagua tu topic chache ambazo Mungu ameniongoza kuzisoma halafu nalala mapema . Cha ajabu sijui nilikuwa nina bahati kiasi gani , topic nilizokuwa nasoma wakati najiandaa na mtihani wowote ndizo ambazo maswali ya mtihani nilikuta yametoka kwenye topic hizo . Hivyo wakati wenzangu jasho linawatoka , nilikuwa tu natiririka kwa wepesi kujibu maswali ya mtihani! Kwa kweli Mungu aliniongoza vema . Ilikuwa tukitoka kwenye mtihani wenzangu wanalalamika mtihani ulikuwa mgumu , wengine wamekesha wanasoma lakini topic walizokesha wanasoma hazijatoka kwenye mtihani bora wangelala tu . Matokeo yakitoka mimi nimefaulu sana , halafu anayenifuatia nimemuacha kwa gap kubwa . Kibaya zaidi mwaka wa kwanza walimu walikuwa na sifa , walikuwa wakija kuleta matokeo ya mitihani wanatangaza waliofaulu sana na waliofeli sana , pepa nyingi mwaka wa kwanza , wa pili na watu nilikuwa napata marks za juu sana na ikanipa umaarufu sana .

Mwaka wa nne nikaenda vizuri mpaka nikafika mwaka wa tano . Mwaka wa tano ndipo mambo yalianza kubadilika hasa katika idara X . Siku moja mkufunzi ( lecturer ) fulani katika hiyo idara X alikuwa anatufundisha pembeni ya kitanda cha mgonjwa ( wanaita Bedside teaching ) , akaniuliza swali nami nikamjibu . Lakini isivyo bahati , jibu langu lilitokea kumkasirisha sana yule mkufunzi na akanichukia aisee . Baadae alivyo maliza kipindi nikamfuata private tuyamalize , lakini aliendelea kuniambia maneno ya kunikatisha tamaa , mpaka akafikia hatua akaniambia atahakikisha simalizi chuo yaani ni-discontinue . Na kweli alikuwa ana influence kwenye idara X hiyo na alikuwa ni mtu mkubwa . Akafanikiwa adhma yake .

Baadae nikaamua kwenda ngazi zingine kudai haki yangu . Kila ngazi niliokuwa nikienda kudai haki yangu ambapo naona ntaipata , jamaa alikuwa amenitangulia hatua kumi mbele ; hivyo nilikuwa naangukia pua . Nika kata tamaa .

Huo wakati stress zilianza kuniandama , nikawa mtu mwenye huzuni na mwenye kutia huruma . Nikiwa katikati ya huzuni nyingi , nikakutana na makala mtandaoni ilikuwa inaongelea kuhusu namba 13 kwamba ina mikosi , mara Friday-13 ni siku mbaya , eti waliozaliwa tarehe 13 huwa wana mikosi na wanapitia magumu . Nami nilizaliwa tarehe 13 , basi nilianza kuiamini makala ile . Nilianza kujiona nina mikosi na nilizaliwa kupitia magumu .

Japo nilikuwa nasali sana , mimi ni mseminari mzuri tu ( o level nilisoma seminari ) , nimelelewa kwenye malezi ya kidini ; Nikawa najiuliza pamoja na kuwa Mimi ni mwana dini kwa nini mambo yangu hayaendi hali marafiki zangu ambao nilikuwa naona hawasali , hawaendi kanisani lakini mambo yao yanaenda vizuri tu , Marafiki zangu wengine walianza kunikataa na wengine wakawa wananishangaa nina tatizo gani , mbona nina akili kuwazidi wao ! . Hali hii ilinifanya nikaanza kuichukia dini , nikaanza kuona dini na kusali ni kama upuuzi hivi , nasali lakini mambo yangu hayaendi. Niliacha kwenda kanisani na ile hali ya kupenda kusali mimi mwenyewe binafsi ikanitoka .

Kuna Dada yangu yeye alikuwa anaamini kuna maisha mengine nje ya Udaktari japo nilipoteza pesa nyingi za wazazi kusoma shule za gharama kuanzia la kwanza mpaka pale nilipokuwa nimefikia , nisikate tamaa . Akawa ananilazimisha niende kanisani . Akanilazimisha niwe naenda kusali ibada ya Yesu wa Ekaristi alhamisi ya kila wiki ili nimtafakari Yesu Kristo na kuongea nae kiroho .

Hatimaye Mungu alinifungulia njia nyingine ya maisha . Alinipa mbinu zote ninazotakiwa kufuata kupitia njozi za usiku wa alhamisi nikiwa nimelala .

Mara ya kwanza , Niliwaona Yesu na Bikra Maria katika njozi ya usiku wa alhamisi nilipokuwa nimelala , walikuwa wameshika Biblia imefunuliwa . Wakiwa wamefanya ishara ya kunipa Biblia hiyo , Yesu akaniambia ; " Chukua hii Biblia na uisome " . Baada ya usiku huo nilijiwekea ratiba ya kusoma Biblia kila siku hata mstari mmoja .

Mara ya pili nikiwa katika njozi ya usiku wa kuamkia jumatatu , kuna kiumbe kilinitokea katika ndoto hiyo , kilikuwa kinang'aa na kimevaa vazi jeupe . Kikaniambia ; " Nimekuja kukuonesha baraka yako ilivyo " . Nami nikajibu nionyeshe . Baada ya muda kidogo nikabadilika nikawa nimevaa vazi lenye rangi "A" halafu nikawa natoa vitu "Y" vikatanda kufunika anga lote , wakati nabadilika hivyo na hayo yanatokea ; nilikuwa najiona kupitia kwenye macho ya hicho kiumbe . Wakati najiona kwenye macho ya kiumbe hicho , kiumbe hicho kikaniambia ; " Hii ndio baraka yako na una nyota mbili za ushindi . Neno hili ( Kiumbe hicho kikanitajia sentensi moja yenye maneno matatu ambayo ninaikumbuka mpaka leo ) ndio silaha yako ya ushindi na ndio limebeba sauti yenye maana kuhusu baraka yako " . Kiumbe hicho ( ambacho mimi nilikitafsiri kama alikuwa ni malaika wa Mungu ) kikaendelea kunielekeza kuwa nikiamka siku hiyo niende mahali "G" nitakutana na rafiki yangu mpya . Niliamka asubuhi ile huku nikiwa naikumbuka njozi Ile kama ilivyo . Niliitafakari sana ! Nalijawa na ma-wazo mengi sana !

La haula ! Siku hiyo nikaenda ile sehemu " G " niliyo elekezwa kwenye njozi ya usiku . Kweli bhana ! Nikapata rafiki mpya , rafiki mzungu , rafiki ambaye anatokea kwenye nchi ya ufaransa . Katika mazungumzo yetu akakiona kipaji changu . Tukatengeneza "deal" . Kuanzia siku hiyo maisha yangu yamejaa "kicheko" ; kwenye biashara wateja wana miminika na nina aminiwa sana na "sponsor" pamoja na watu . Huwa nina mshukuru Mungu . Yesu wa Ekaristi aliniokoa na kunisaidia kunipa mbinu ya kutoka kimaisha kupitia njozi za usiku .
 
Asee Mungu akubariki,

Story nzuri naamini utaleta muendelezo......

Inawezekana Mungu alikuleta duniani uwe Mtumishi wake katika kufanya biashara, lakini Kwa kutojua, wazazi wakataka uwe daktari.
Hivyo, yaliyokutokea yalilenga kukurudisha kwenye wito wako sahihi.

Hakikisha ufalme wa Mungu unatamalaki katika biashara, ufanye biashara ya HAKI, dhuluma isiwepo, wafanyakazi chini Yako, watimize malengo Yao kupitia mikono Yako, Kila ufanyacho kikawe baraka mara elfu elfu.

Mungu na akubariki.🙏
 
Mkuu samahani lakini unasali wapi natamani kujumuika nawewe siku moja
Samahani ndugu,

Hilo halijaruhusiwa kuwekwa wazi,Bado natengenezwa Kwa utumishi maalumu muda ukifika.

Ubarikiwe🙏
 
Hapo kwenye mitihani umenikumbusha nilipokuwa sekondari.

Mimi nilipenda zaidi kusoma BIBLIA na somo la Divinity nilipenda sana kulifuatilia,

Mungu alinipa kufaulu haya masomo mengine bila kutumia nguvu kubwa ya kusoma sana, kumsikiza mwalimu pekee ilitosha.

Wakati wa mitihani, nilikuwa na uwezo wa kujua wapi mwalimu atatoa swali nikishika daftari.

Sasa Rafiki yangu mmoja mvivu wa kusoma, Yeye alikuwa akinifuata hatua za mwisho kabla ya mitihani kuanza, nikimwambia swali hili litatoka, Yeye Badala ya kusoma, anachana Ile karatasi na kuingia nayo ndani ya chumba Cha mtihani, Kuna vituko sana mashuleni😀
 
Asee Mungu akubariki,

Story nzuri naamini utaleta muendelezo......

Inawezekana Mungu alikuleta duniani uwe Mtumishi wake katika kufanya biashara, lakini Kwa kutojua, wazazi wakataka uwe daktari.
Hivyo, yaliyokutokea yalilenga kukurudisha kwenye wito wako sahihi.

Hakikisha ufalme wa Mungu unatamalaki katika biashara, ufanye biashara ya HAKI, dhuluma isiwepo, wafanyakazi chini Yako, watimize malengo Yao kupitia mikono Yako, Kila ufanyacho kikawe baraka mara elfu elfu.

Mungu na akubariki.🙏
Amen 🙏 mtumishi .
 
Back
Top Bottom