Mkuu it seems you don believe on God and you know nothing about Spirit either. Si ndio?
MUNGU siamini kabisaaaa..kabisaaaa kama yuko....i hv concrete scientific and social reasons.....before niliaminishwa yuko...but after i acquired, BRAIN POWER, A REAL KNOW HOW....nilikuja jua SIAMINI MUNGU YUKO....na usiwaze au kuona dhambi kukwambia Mungu hayuko...hukuna dhambi wala nn....acha hizo hisia za kujazwa na kudanganywa...!!
I hv reasons, na za wazii waziii....usije nipa stories za BIBLE or QURAN..!!!!
Mungu kama yuko hawezi IACHA DUNIA ITEKETEE KAMA TUONAVYO LEO.....HAIWEZEKANI WATU WABAYA WANAUA WATU WEMA KILA KUKICHA....
Haiwezekani Viongozi wauaji wawe hai, na Mungu anawaacha wanaua watu wake kwa njia mbali mbali...
Haiwezekani majanga makubwa makubwa duniani yanamaliza watu, huku Mungu yuko...
Haiwezekani Mungu ashindwe kutoa Neema kwa watu wenye laana ya UKOO wakipukutika, kizazi hadi kizazi...
Haiwezekani Mungu awe ktk kiti cha ENZI huku Duniani watu wake wanateseka huku anaona, ana kila kitu na ni watoto wake...ana kila nguvu, haiwezekani...
Mungu, kwangu is JUST FEAR OF UNKNOWNS....!!!!
Tumeaminishwa hivyo tu.....ILA UKITAKA KUJUA NASEMA KWELI.....ww TENDA MEMA, usichoke, jaribu kuwa mtu wa hekima, busara na BIDIII YA PEKEE kwa kila kitu, usichoke kujifunza ELIMU & UKWELI....jifunze kujitegemea sana....pambana na maisha yako yawe bora kwa njia njema...DUNIA ITAKULIPA VYOOOTE mema na UTAKUWA MTU TOFAUTI....!!!!
Ila KAA KANISANI AU MISIKITINI...ukeshe ukiomba, hutapata kitu, MM NAAMINI HIVI.....INGEKUWA MUNGU YUKO...DUNIA INGEBAKIA KAMA BUSTANI YA EDENI ambayo nayo ni ya kufikirika ktk biblia....
Haitakiwi mm au ww TUPATE TAABU HIVI KAMA MUNGU YUKO....haiwezekani...ndio maana mm nasali kwa meditation tu.....AU NI MKRISTO MFU TU.....nina jina na mkristo sbb wazazi wangu wametoka huko...!!!
Kanisani naenda kwa miaka mara kadhaaa hv sasa siendi kabisa...
DINI nachukulia ni ULEVI FULANI TU...Mungu huyu kama yuko HAWEZI KUACHAA KABISA KABISAA sisi wanadamu alietuumba kwa mfano na sura yake ASEMAVYO KTK VITABU VYAKE TUTESEKE....kwnn niteseka kama ANATUPENDAAA...!!?
I am a NO NOSENSE MAN...a no NOSENSE HUMAN BEING...MUNGU KAMA ANATUPENDA SANA KAMA WATOTO WAKE, HAIWEZEKANI TUTESEKE HV....sikubali hiyooo...ULISHAFIKA HOSPITALINI...au sehemu zenye majangaa..!?
SIKUBALI na haiingii akilini MUNGU KAMA YUKO, mwenye kila kituuu... ATUPENDE alafu ATUACHE KTK MATESO MAKALI HAYA YA DUNIA HII...
NAAMINI KABISA KABISAA...MUNGU HAYUKO...NA SITENDI dhambi kusema haya kwa mtu au HATA kwa HUYO MUNGU KAMA ANANISIKIA....
Haiwezekani WATU WATUMIE NGUVU ZA GIZA...huku wakijiita WACHUNGAJI...MITUME...NABII...huku wameshika biblia MUNGU ASIWAADHIBU pale pale, ili watu wake WASIPOTEE...
MM nimetembea mabara karibu yote, NORTH AMERICA, SOUTH AMERICA, ASIA, EUROPE...african countires nyingi nimeenda...CJAWAHI ONA KUNA KILEMA AU MTU KAPONYWA....au kiziwi kasikia kama HAWA WACHUNGAJI MATAPELI NA WENYE KUTUMIA NGUVU ZA GIZA wanavyodanganya watu..tena kwa kutumia maneno ya Biblia...ILA UKIANGALIAAAAA KWA AKILI NDOGO TU...KUMBE NI WATAFUTA FEDHAAAAA.....wooote ni wafanya biashara...maisha yao ni ya FAHARI KUTISHA...MUNGU angekuwepo angewamaliza hawa..sbb wanawapoteza watu wake....
Unajua UBONGO WAKO ni kitu cha ajabu sana, usipoujua huu ubongo utapata shida sana, sbb ndio unakupa data zote na fikira....ILA HIZO DATA ZINATOKA WAPI . !!? NI hv...ukiwa unasaliiiiii sanaaaa, ubongo wako unajaaa salaaaa, hizo ndio DATA...utaota sana tu UNAMUONA YESU AU MTUME MUHAMAD kila muda au UNAKEMEA MAPEPO NA YANATII AMRI...sb ndio DATA ZAKO ULIZO JAZA HUKOO....sasa kwa kutoelewa UTAANZA HADITHIA wenzako, ulivyotokewa na YESU ktk ndoto, ulivyokemea mapepo ktk ndoto...yoooote sbb HUUJUI UBONGO UNAOKUONGOZA....likewise UKIWA UNAWAZAAAA sana sanaa jambo, mfano umefiwa na mpendwa wako au mama, UTAMUOTA KILA MARA NA KUMUONA KTK NDOTO ZAKO....sbb ndio memory iliyo nyingi ktk ubongo wako, ila SIO KWELI KUWA UMEONGEA NA MAMA AU MPENDWA WAKO ALIYEKUFA....tht is brain memory inaji retrive itself...!!!
So, Ukijaza au ukijazwa ubongo UJINGA UTAKUWA MJINGA NA KUWAZA UJINGA TU na hata kutenda ujinga kabisa, ukiwaza sex sanaaa, utaota unafanya mapenzi ktk ndoto au unampendaaaaa msichana fulani kakujaa ubongoni...utamuota sana na hata sometimes unaota unafanya nae sex, au umemuoa au kakukataa au mtu mwingine kamchukua....yoooote haya ni UBONGO WAKO.....!!! Hata ukiwa unasoma sanaaa kwa kuogopa mitihani, unaota mitihani au umefeli au umefaulu au smthng associated na hayo ya masomo mara nyingi...!!!
Kuna vitu vingine unaweza kuota vya kawaida tu..tht is normal mode of BRAIN....!!!
Sasa tunajifunza nn, UKIAMINISHWA KITU, KITAANZA KUKAA KTK UBONGO WAKO....kitakua na kukua ktk ubongo wako wakati huna USHAHIDI KABISA WA KILE UNACHOAMINI wala hukijui kabisa.....so utabaki kutoa USHUHUDA wa KUOTA NDOTO uotazo, kumbe ndicho kilicho ktk ubongo wako BILA KUKIJUA....
CHUNGA SANA MAISHA YAKO...JIJUE, USIFUNGWE KAMBA, UTAKUWA MTUMWA DUNIANI....
Mungu ni WW MWENYEWE...na SHETANI NI WW MWENYEWE...SIKU NJEMA...!!