Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilianza kukubaliana nawe ila kwa hoja kuwa ukristo ndio chanzo cha maasi hapo tushapoteana mkuu.
Nawasalimia wana JF wote.
Leo nipo hapa kuongelea swala hili la kufanya miujiza na uponyaji.
Kwanza awali ya yote ningepeda kutoa utangulizi kama ifuatavyo.
UTANGULIZI
Sisi binadamu tuko na nguvu kubwa sana ndani yetu. Ni kitendo cha kujua jinsi ya kuitumia. Nguvu tuliyonayo ni nguvu ya kiroho ambayo huwezi ukaiona kwa macho ya damu na nyama lakini unaweza ukaitumia na ikaleta matokeo katika ulimwengu wetu huu.
Nguvu tuliyonayo sisi haijui kuwa hiki chema au kibaya ni mtu tu atakavyo amua kuitumia. Wengine wanaitumia kufanya uchawi lakini wengine wanaitumia kufanya miujiza ya uponyaji. Ni wewe tu utakavyoamua kuitumia hiyo nguvu. Yenyewe ipo.
NAMNA GANI WAWEZA KUIPATA HIYO NGUVU.
Watu wengi sana duniani wamekuwa hawajui hawa watu wanaofanya miujiza au wanaofanya uchawi wanapata wapi nguvu? Je hao watu ni special one? Mimi nina sema hapa ni kwamba tumesahau au tumekataa maarifa na tukakubali kuwa tunasimuliwa na kuwa sio watendaji.
Kwa wale mnaosoma biblia (Hosea 4:6 inasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa....."). Inamaana watu wamekosa maarifa ndio maana waenda tu bila kujua nini cha kufanya.
Nguvu yetu ya kufanya makubwa ipo ndani ya nafsi zetu (Consciousness). Au ninaweza kusema sisi watu tunaishi katika ulimwengu wa aina mbili(Ulimwengu wa damu na nyama pia Ulimwengu wa kiroho). Sasa ulimwengu wa kiroho ndio unaguvu na ndio chanzo za nguvu zote. Na ndio uhalisia wetu sisi na ndio reality yetu sisi.
Sasa basi kiwango cha kutumia nguvu au kuwasiliana na nafsi zetu unapungua kadri umri wetu unaposogea. Mtoto anapozaliwa asilimia kubwa sana anakuwa yupo pamoja na nafsi ya ili tatizo lake anakuwa ni mgeni duniani hajui kuongea hajui chochote kilichopo duniani. Kwamaana hiyo hawezi akafikisha ujumbe wowote. Lakini kwakuwa tumekosa maarifa mtoto anapoanza kukua tunaanza kumfundisha vitu vya dunia tu na kusahau asili ya ni nini. Jambo hilo ninamfanya huyo mtoto awe mbali na nafsi yake. Kadri anavyo zidi kukua anazidi kuwa mbali.
Njia yakuweza kuwasiliana na nafsi zetu ni kuhakikisha tunafunga milango ya fahamu ya miili yetu (macho, masikio, mawazo, ngozi nk). Tunapofunga milango hiyo ya fahamu ndio tunakuwa na uwezo wa kuanza kuwasiliana na nafsi zetu.
Kwa wale wasomaji wa biblia: (mathayo 6:6 "Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.")
Jambo kubwa ninalojaribu kuongea hapa ni kuwaweka sawa waumini wa dini ya kikristo waelewe ni mambo gani yameandikwa kwenye kitabu chao na kwanini hawayafuati.
Njia ili uweze kuwasilina na nafsi yako kwa ufupi ni kufanya meditation (Sina neno zuri la kiswahili). Hii ndio njia bora ya kuweza kuwasilian na nafsi. Kadir unavyozidi kufanya meditation unzidi kupata uwezo mkubwa wa kufanya mambo hapa duniani.
Asilimia zote za watu waliofanikiwa au wanaofanikiwa hapa duniani wanafanya meditation.
Joshua 1:8 This Book of the Law shall not depart from your mouth, but you shall meditate on it day and night, so that you may be careful to do according to all that is written in it. For then you will make your way prosperous, and then you will have good success.
Genesis 24:63 And Isaac went out to meditate in the field toward evening. And he lifted up his eyes and saw, and behold, there were camels coming.
Psalms 119:97 Oh how I love your law! It is my meditation all the day.
Kwa hiyo meditation ndio njia nzuri ya kuweza kuwasilina na nafsi zetu.
Unajua sisi tunauwezo wa uungu ndani yetu? Unajua tunauwezo wakufanya mambo makubwa na dunia yetu ikawa sehemu nzuri ya kuishi? Sisi ni gods na tuna nguvu ya kuitwa gods na ni kweli sisi ni gods Zaburi 82:6 "Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia."
Utafanya nini ukikaa katika nchi ya watu walio na uwezo na unaona kabisa wanauwezo lakini wanalia shida? Je utawaacha tu hivyo au utawafundisha namna gani walivyo na uwezo? Ni mawili hapo. Ukiwafundisha watajitambua na utakosa watumwa kwa sababu unafurahia wao kuwa watumwa wako. Utawajaza vitu vingi vya ajabu na kuwafanya wakutegemeewewe. Jambo la pili utawafundisha ili waweze kujitambua na kuleta amani katika jamii hiyo kwa kuwa hakutakuwa na tofauti maana watu wanajitambua na wanaelewa wao ni nani.
Je hili jambo la pili linafanyika sasa. La hasha hawataki kabisa wanatufundisha makanisani kuhusu utoaji wa sadaka na kuwa waadilifu ilituweze kwenda mbiguni. Jambo ambalo ni tofauti lkabisa na inavyotakiwa.
Ninayo mengi sana ya kuweza kuongea nanyi rafiki zangu. Lakini hebu niweke kalamu yangu chini na niwaache nanyie muweze kuusoma waraka huu na kuniuliza maswali. Na mimi nitakuwa tayari kujibu inaweza kuwa siyo yote nitajimbu maswali yaliyo ya msingi.
By Annael
EDUCATION IS POWER
Ninaheshimu dini ya mtu yeyote. Lakini ukweli lazima tuuseme (Hakuna kitu kinachoitwa mungu wala shetani).Inaonyesha wewe hujaisoma Biblia ukaielewa, unagusagusa kwa hisia tu. Ngoja nikusaidie.
Hapa duniani kuna nguvu 3 kuu; nguvu ya Mungu, nguvu ya shetani na nguvu ya binadamu. Mwanadamu hana uwezo wa kiroho, hivyo anategemea nguvu ya Mungu au shetani. Usipomtegemea Mungu basi unamtegemea shetani.
Kwa kuwa unakiri wewe sio mkristo, defenetly unatumia nguvu za giza (shetani) halafu unajifariji.
Unasema kama Mungu yupo, tusingeishi kwa taabu hapa duniani. Ndio maana nakwambia hujaisoma biblia ukailewa. Biblia imeeleza kuumbwa kwa ulimwengu na vyote vilivyomo. Walikuwa wakiishi kwenye bustani ya eden. Adam na Eve walitenda dhambi wakafukuzwa. Dhambi ndio imeusababisha ulimwengu uwe wa shida.
Lakini Mungu alimtuma Yesu kuja duniani kuwakomboa wanadamu na dhambi zao. Leo ukimwamini Yesu utaokoka. Siku inakuja Yesu atakuja kuwachukua waliomwamini kwenda mbunguni. Ulimwengu mpya kwa wasiofanya dhambi unakuja.
Kumbuka ni lazima umwamini Yesu uokoke.
Acha kupoteza muda mwingi ukidanganya watu.
MUNGU siamini kabisaaaa..kabisaaaa kama yuko....i hv concrete scientific and social reasons.....before niliaminishwa yuko...but after i acquired, BRAIN POWER, A REAL KNOW HOW....nilikuja jua SIAMINI MUNGU YUKO....na usiwaze au kuona dhambi kukwambia Mungu hayuko...hukuna dhambi wala nn....acha hizo hisia za kujazwa na kudanganywa...!!
I hv reasons, na za wazii waziii....usije nipa stories za BIBLE or QURAN..!!!!
Mungu kama yuko hawezi IACHA DUNIA ITEKETEE KAMA TUONAVYO LEO.....HAIWEZEKANI WATU WABAYA WANAUA WATU WEMA KILA KUKICHA....
Haiwezekani Viongozi wauaji wawe hai, na Mungu anawaacha wanaua watu wake kwa njia mbali mbali...
Haiwezekani majanga makubwa makubwa duniani yanamaliza watu, huku Mungu yuko...
Haiwezekani Mungu ashindwe kutoa Neema kwa watu wenye laana ya UKOO wakipukutika, kizazi hadi kizazi...
Haiwezekani Mungu awe ktk kiti cha ENZI huku Duniani watu wake wanateseka huku anaona, ana kila kitu na ni watoto wake...ana kila nguvu, haiwezekani...
Mungu, kwangu is JUST FEAR OF UNKNOWNS....!!!!
Tumeaminishwa hivyo tu.....ILA UKITAKA KUJUA NASEMA KWELI.....ww TENDA MEMA, usichoke, jaribu kuwa mtu wa hekima, busara na BIDIII YA PEKEE kwa kila kitu, usichoke kujifunza ELIMU & UKWELI....jifunze kujitegemea sana....pambana na maisha yako yawe bora kwa njia njema...DUNIA ITAKULIPA VYOOOTE mema na UTAKUWA MTU TOFAUTI....!!!!
Ila KAA KANISANI AU MISIKITINI...ukeshe ukiomba, hutapata kitu, MM NAAMINI HIVI.....INGEKUWA MUNGU YUKO...DUNIA INGEBAKIA KAMA BUSTANI YA EDENI ambayo nayo ni ya kufikirika ktk biblia....
Haitakiwi mm au ww TUPATE TAABU HIVI KAMA MUNGU YUKO....haiwezekani...ndio maana mm nasali kwa meditation tu.....AU NI MKRISTO MFU TU.....nina jina na mkristo sbb wazazi wangu wametoka huko...!!!
Kanisani naenda kwa miaka mara kadhaaa hv sasa siendi kabisa...
DINI nachukulia ni ULEVI FULANI TU...Mungu huyu kama yuko HAWEZI KUACHAA KABISA KABISAA sisi wanadamu alietuumba kwa mfano na sura yake ASEMAVYO KTK VITABU VYAKE TUTESEKE....kwnn niteseka kama ANATUPENDAAA...!!?
I am a NO NOSENSE MAN...a no NOSENSE HUMAN BEING...MUNGU KAMA ANATUPENDA SANA KAMA WATOTO WAKE, HAIWEZEKANI TUTESEKE HV....sikubali hiyooo...ULISHAFIKA HOSPITALINI...au sehemu zenye majangaa..!?
SIKUBALI na haiingii akilini MUNGU KAMA YUKO, mwenye kila kituuu... ATUPENDE alafu ATUACHE KTK MATESO MAKALI HAYA YA DUNIA HII...
NAAMINI KABISA KABISAA...MUNGU HAYUKO...NA SITENDI dhambi kusema haya kwa mtu au HATA kwa HUYO MUNGU KAMA ANANISIKIA....
Haiwezekani WATU WATUMIE NGUVU ZA GIZA...huku wakijiita WACHUNGAJI...MITUME...NABII...huku wameshika biblia MUNGU ASIWAADHIBU pale pale, ili watu wake WASIPOTEE...
MM nimetembea mabara karibu yote, NORTH AMERICA, SOUTH AMERICA, ASIA, EUROPE...african countires nyingi nimeenda...CJAWAHI ONA KUNA KILEMA AU MTU KAPONYWA....au kiziwi kasikia kama HAWA WACHUNGAJI MATAPELI NA WENYE KUTUMIA NGUVU ZA GIZA wanavyodanganya watu..tena kwa kutumia maneno ya Biblia...ILA UKIANGALIAAAAA KWA AKILI NDOGO TU...KUMBE NI WATAFUTA FEDHAAAAA.....wooote ni wafanya biashara...maisha yao ni ya FAHARI KUTISHA...MUNGU angekuwepo angewamaliza hawa..sbb wanawapoteza watu wake....
Unajua UBONGO WAKO ni kitu cha ajabu sana, usipoujua huu ubongo utapata shida sana, sbb ndio unakupa data zote na fikira....ILA HIZO DATA ZINATOKA WAPI . !!? NI hv...ukiwa unasaliiiiii sanaaaa, ubongo wako unajaaa salaaaa, hizo ndio DATA...utaota sana tu UNAMUONA YESU AU MTUME MUHAMAD kila muda au UNAKEMEA MAPEPO NA YANATII AMRI...sb ndio DATA ZAKO ULIZO JAZA HUKOO....sasa kwa kutoelewa UTAANZA HADITHIA wenzako, ulivyotokewa na YESU ktk ndoto, ulivyokemea mapepo ktk ndoto...yoooote sbb HUUJUI UBONGO UNAOKUONGOZA....likewise UKIWA UNAWAZAAAA sana sanaa jambo, mfano umefiwa na mpendwa wako au mama, UTAMUOTA KILA MARA NA KUMUONA KTK NDOTO ZAKO....sbb ndio memory iliyo nyingi ktk ubongo wako, ila SIO KWELI KUWA UMEONGEA NA MAMA AU MPENDWA WAKO ALIYEKUFA....tht is brain memory inaji retrive itself...!!!
So, Ukijaza au ukijazwa ubongo UJINGA UTAKUWA MJINGA NA KUWAZA UJINGA TU na hata kutenda ujinga kabisa, ukiwaza sex sanaaa, utaota unafanya mapenzi ktk ndoto au unampendaaaaa msichana fulani kakujaa ubongoni...utamuota sana na hata sometimes unaota unafanya nae sex, au umemuoa au kakukataa au mtu mwingine kamchukua....yoooote haya ni UBONGO WAKO.....!!! Hata ukiwa unasoma sanaaa kwa kuogopa mitihani, unaota mitihani au umefeli au umefaulu au smthng associated na hayo ya masomo mara nyingi...!!!
Kuna vitu vingine unaweza kuota vya kawaida tu..tht is normal mode of BRAIN....!!!
Sasa tunajifunza nn, UKIAMINISHWA KITU, KITAANZA KUKAA KTK UBONGO WAKO....kitakua na kukua ktk ubongo wako wakati huna USHAHIDI KABISA WA KILE UNACHOAMINI wala hukijui kabisa.....so utabaki kutoa USHUHUDA wa KUOTA NDOTO uotazo, kumbe ndicho kilicho ktk ubongo wako BILA KUKIJUA....
CHUNGA SANA MAISHA YAKO...JIJUE, USIFUNGWE KAMBA, UTAKUWA MTUMWA DUNIANI....
Mungu ni WW MWENYEWE...na SHETANI NI WW MWENYEWE...SIKU NJEMA...!!
Mkuu nadhani nimelitolea ufafanuzi hili. Nimemjibu Mashaxizo na ninatumaini amenielewa.
Hapa ndugu yangu sijabadili msimamo wangu upo pale pale. Nimetumia hiyo biblia kama reference ya kufikisha ujumbe kwa wenzetu watu wa dini. Ukiisoma vizuri nimeweka wazi kabisa. Na unajua chanzo cha maasi yote haya asilimia kubwa inasababishwa na hii dini ya kikristo.
Nimekupata. Kumbe wewe ni mfuasi wa biblia!. Mimi naongelea fikra huru isiyo kwenye kifungo cha dini. Nilazima tufunguliwe kutoka kwenye vifungo vya dini.Najua ulimjibu hivi:
Labda nikusaidie tu...
Kuitumia Biblia kama reference haina maana ndio kunakupa uhalali wa kuhalalisha unachokiwaza na kukiamini...
Shetani ameshawahi kutumia nukuu za Biblia na bado anaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa minajili ya kupotosha [Soma kujaribiwa kwa Yesu Kristo jangwani]
Hivyo sio kila atumiaye Biblia huwa na malengo ya kujenga...
I read, word by word...i agree with power of MEDITATION...i use it most of time for many yrs nw...
BUT...BUT....unaanza to cross the lines #Annael ...
Kabla hatujazaliwa TULIKUWA SPERMS AND FEMALE EGGS....xy or xx chromosomes ziliungana mimba ikatongwa tukazaliwa...PERIOD...PERIOOOOOOD...!!!
Na tukifa, unazikwa kaburini, unaoza, NOWHERE TO GO....ukifa umekufaaa, kwishaaa...perioooood....!!!!
Don't cross those lines utadanganya watu hapa....kuna watu maisha yao yako hovyo humu, WATAANZA KUJIUA BUREEE WAKIZANI kuna maisha bora huko mbeleni...wako, so USIWAAMBIE WATU ETI KABLA HATUJAJA DUNIANI TULIKUWA SOMEWHERE...au baada ya KUFA TUTAENDA SOMEWHERE OR MBINGUNI....watu watajiua huku...wako watu hamnazo.....
So Bottom line, ukifa tunakulia wali na pilau, na juice, soda, maji, kisha tunakuaga, na kukuzika, ardhini, sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi... MWISHO WA HABARI YAKO...NO where utaenda baada ya hapo...!!!
About meditation kweli ina nguvu it depends how much umewekeza kifikira....in short meditation ni CONCENTRATION ya kiwango cha juu, kuhusu jambo fulani...na utafanikiwa sbb umeweka kila wazo na vitendo ktk jambo ulilo concentrate sana sana...!!! So Spirit together with actions at highly concentrated mood, long time practice...make you succeed for wht u aimed for....!!!
MUNGU siamini kabisaaaa..kabisaaaa kama yuko....i hv concrete scientific and social reasons.....before niliaminishwa yuko...but after i acquired, BRAIN POWER, A REAL KNOW HOW....nilikuja jua SIAMINI MUNGU YUKO....na usiwaze au kuona dhambi kukwambia Mungu hayuko...hukuna dhambi wala nn....acha hizo hisia za kujazwa na kudanganywa...!!
I hv reasons, na za wazii waziii....usije nipa stories za BIBLE or QURAN..!!!!
Mungu kama yuko hawezi IACHA DUNIA ITEKETEE KAMA TUONAVYO LEO.....HAIWEZEKANI WATU WABAYA WANAUA WATU WEMA KILA KUKICHA....
Haiwezekani Viongozi wauaji wawe hai, na Mungu anawaacha wanaua watu wake kwa njia mbali mbali...
Haiwezekani majanga makubwa makubwa duniani yanamaliza watu, huku Mungu yuko...
Haiwezekani Mungu ashindwe kutoa Neema kwa watu wenye laana ya UKOO wakipukutika, kizazi hadi kizazi...
Haiwezekani Mungu awe ktk kiti cha ENZI huku Duniani watu wake wanateseka huku anaona, ana kila kitu na ni watoto wake...ana kila nguvu, haiwezekani...
Mungu, kwangu is JUST FEAR OF UNKNOWNS....!!!!
Tumeaminishwa hivyo tu.....ILA UKITAKA KUJUA NASEMA KWELI.....ww TENDA MEMA, usichoke, jaribu kuwa mtu wa hekima, busara na BIDIII YA PEKEE kwa kila kitu, usichoke kujifunza ELIMU & UKWELI....jifunze kujitegemea sana....pambana na maisha yako yawe bora kwa njia njema...DUNIA ITAKULIPA VYOOOTE mema na UTAKUWA MTU TOFAUTI....!!!!
Ila KAA KANISANI AU MISIKITINI...ukeshe ukiomba, hutapata kitu, MM NAAMINI HIVI.....INGEKUWA MUNGU YUKO...DUNIA INGEBAKIA KAMA BUSTANI YA EDENI ambayo nayo ni ya kufikirika ktk biblia....
Haitakiwi mm au ww TUPATE TAABU HIVI KAMA MUNGU YUKO....haiwezekani...ndio maana mm nasali kwa meditation tu.....AU NI MKRISTO MFU TU.....nina jina na mkristo sbb wazazi wangu wametoka huko...!!!
Kanisani naenda kwa miaka mara kadhaaa hv sasa siendi kabisa...
DINI nachukulia ni ULEVI FULANI TU...Mungu huyu kama yuko HAWEZI KUACHAA KABISA KABISAA sisi wanadamu alietuumba kwa mfano na sura yake ASEMAVYO KTK VITABU VYAKE TUTESEKE....kwnn niteseka kama ANATUPENDAAA...!!?
I am a NO NOSENSE MAN...a no NOSENSE HUMAN BEING...MUNGU KAMA ANATUPENDA SANA KAMA WATOTO WAKE, HAIWEZEKANI TUTESEKE HV....sikubali hiyooo...ULISHAFIKA HOSPITALINI...au sehemu zenye majangaa..!?
SIKUBALI na haiingii akilini MUNGU KAMA YUKO, mwenye kila kituuu... ATUPENDE alafu ATUACHE KTK MATESO MAKALI HAYA YA DUNIA HII...
NAAMINI KABISA KABISAA...MUNGU HAYUKO...NA SITENDI dhambi kusema haya kwa mtu au HATA kwa HUYO MUNGU KAMA ANANISIKIA....
Mungu ni WW MWENYEWE...na SHETANI NI WW MWENYEWE...SIKU NJEMA...!!
MUNGU siamini kabisaaaa..kabisaaaa kama yuko....i hv concrete scientific and social reasons.....before niliaminishwa yuko...but after i acquired, BRAIN POWER, A REAL KNOW HOW....nilikuja jua SIAMINI MUNGU YUKO....na usiwaze au kuona dhambi kukwambia Mungu hayuko...hukuna dhambi wala nn....acha hizo hisia za kujazwa na kudanganywa...!!
I hv reasons, na za wazii waziii....usije nipa stories za BIBLE or QURAN..!!!!
Mungu kama yuko hawezi IACHA DUNIA ITEKETEE KAMA TUONAVYO LEO.....HAIWEZEKANI WATU WABAYA WANAUA WATU WEMA KILA KUKICHA....
Haiwezekani Viongozi wauaji wawe hai, na Mungu anawaacha wanaua watu wake kwa njia mbali mbali...
Haiwezekani majanga makubwa makubwa duniani yanamaliza watu, huku Mungu yuko...
Haiwezekani Mungu ashindwe kutoa Neema kwa watu wenye laana ya UKOO wakipukutika, kizazi hadi kizazi...
Haiwezekani Mungu awe ktk kiti cha ENZI huku Duniani watu wake wanateseka huku anaona, ana kila kitu na ni watoto wake...ana kila nguvu, haiwezekani...
Mungu, kwangu is JUST FEAR OF UNKNOWNS....!!!!
Tumeaminishwa hivyo tu.....ILA UKITAKA KUJUA NASEMA KWELI.....ww TENDA MEMA, usichoke, jaribu kuwa mtu wa hekima, busara na BIDIII YA PEKEE kwa kila kitu, usichoke kujifunza ELIMU & UKWELI....jifunze kujitegemea sana....pambana na maisha yako yawe bora kwa njia njema...DUNIA ITAKULIPA VYOOOTE mema na UTAKUWA MTU TOFAUTI....!!!!
Ila KAA KANISANI AU MISIKITINI...ukeshe ukiomba, hutapata kitu, MM NAAMINI HIVI.....INGEKUWA MUNGU YUKO...DUNIA INGEBAKIA KAMA BUSTANI YA EDENI ambayo nayo ni ya kufikirika ktk biblia....
Haitakiwi mm au ww TUPATE TAABU HIVI KAMA MUNGU YUKO....haiwezekani...ndio maana mm nasali kwa meditation tu.....AU NI MKRISTO MFU TU.....nina jina na mkristo sbb wazazi wangu wametoka huko...!!!
Kanisani naenda kwa miaka mara kadhaaa hv sasa siendi kabisa...
DINI nachukulia ni ULEVI FULANI TU...Mungu huyu kama yuko HAWEZI KUACHAA KABISA KABISAA sisi wanadamu alietuumba kwa mfano na sura yake ASEMAVYO KTK VITABU VYAKE TUTESEKE....kwnn niteseka kama ANATUPENDAAA...!!?
I am a NO NOSENSE MAN...a no NOSENSE HUMAN BEING...MUNGU KAMA ANATUPENDA SANA KAMA WATOTO WAKE, HAIWEZEKANI TUTESEKE HV....sikubali hiyooo...ULISHAFIKA HOSPITALINI...au sehemu zenye majangaa..!?
SIKUBALI na haiingii akilini MUNGU KAMA YUKO, mwenye kila kituuu... ATUPENDE alafu ATUACHE KTK MATESO MAKALI HAYA YA DUNIA HII...
NAAMINI KABISA KABISAA...MUNGU HAYUKO...NA SITENDI dhambi kusema haya kwa mtu au HATA kwa HUYO MUNGU KAMA ANANISIKIA....
Haiwezekani WATU WATUMIE NGUVU ZA GIZA...huku wakijiita WACHUNGAJI...MITUME...NABII...huku wameshika biblia MUNGU ASIWAADHIBU pale pale, ili watu wake WASIPOTEE...
MM nimetembea mabara karibu yote, NORTH AMERICA, SOUTH AMERICA, ASIA, EUROPE...african countires nyingi nimeenda...CJAWAHI ONA KUNA KILEMA AU MTU KAPONYWA....au kiziwi kasikia kama HAWA WACHUNGAJI MATAPELI NA WENYE KUTUMIA NGUVU ZA GIZA wanavyodanganya watu..tena kwa kutumia maneno ya Biblia...ILA UKIANGALIAAAAA KWA AKILI NDOGO TU...KUMBE NI WATAFUTA FEDHAAAAA.....wooote ni wafanya biashara...maisha yao ni ya FAHARI KUTISHA...MUNGU angekuwepo angewamaliza hawa..sbb wanawapoteza watu wake....
Unajua UBONGO WAKO ni kitu cha ajabu sana, usipoujua huu ubongo utapata shida sana, sbb ndio unakupa data zote na fikira....ILA HIZO DATA ZINATOKA WAPI . !!? NI hv...ukiwa unasaliiiiii sanaaaa, ubongo wako unajaaa salaaaa, hizo ndio DATA...utaota sana tu UNAMUONA YESU AU MTUME MUHAMAD kila muda au UNAKEMEA MAPEPO NA YANATII AMRI...sb ndio DATA ZAKO ULIZO JAZA HUKOO....sasa kwa kutoelewa UTAANZA HADITHIA wenzako, ulivyotokewa na YESU ktk ndoto, ulivyokemea mapepo ktk ndoto...yoooote sbb HUUJUI UBONGO UNAOKUONGOZA....likewise UKIWA UNAWAZAAAA sana sanaa jambo, mfano umefiwa na mpendwa wako au mama, UTAMUOTA KILA MARA NA KUMUONA KTK NDOTO ZAKO....sbb ndio memory iliyo nyingi ktk ubongo wako, ila SIO KWELI KUWA UMEONGEA NA MAMA AU MPENDWA WAKO ALIYEKUFA....tht is brain memory inaji retrive itself...!!!
So, Ukijaza au ukijazwa ubongo UJINGA UTAKUWA MJINGA NA KUWAZA UJINGA TU na hata kutenda ujinga kabisa, ukiwaza sex sanaaa, utaota unafanya mapenzi ktk ndoto au unampendaaaaa msichana fulani kakujaa ubongoni...utamuota sana na hata sometimes unaota unafanya nae sex, au umemuoa au kakukataa au mtu mwingine kamchukua....yoooote haya ni UBONGO WAKO.....!!! Hata ukiwa unasoma sanaaa kwa kuogopa mitihani, unaota mitihani au umefeli au umefaulu au smthng associated na hayo ya masomo mara nyingi...!!!
Kuna vitu vingine unaweza kuota vya kawaida tu..tht is normal mode of BRAIN....!!!
Sasa tunajifunza nn, UKIAMINISHWA KITU, KITAANZA KUKAA KTK UBONGO WAKO....kitakua na kukua ktk ubongo wako wakati huna USHAHIDI KABISA WA KILE UNACHOAMINI wala hukijui kabisa.....so utabaki kutoa USHUHUDA wa KUOTA NDOTO uotazo, kumbe ndicho kilicho ktk ubongo wako BILA KUKIJUA....
CHUNGA SANA MAISHA YAKO...JIJUE, USIFUNGWE KAMBA, UTAKUWA MTUMWA DUNIANI....
Mungu ni WW MWENYEWE...na SHETANI NI WW MWENYEWE...SIKU NJEMA...!!
Maelezo yako juu ya kwa nn hauamini uwepo wa mungu ni ushahidi tosha kuwa wakati upo kwe hiyo imani yako ya awali ulikuwa haujui kwa kina unachokoamini kifupi haujui kabsaaa hicho unachokipinga,na ndo maana umeulizwa tupe ushahidi kuwa ukristu ndo chanzo cha maovu,na ukaulizwa km biblia ni kitu kiovu cha uongo mbona unatumia baadhi ya aya zake kuwaaminisha watu hiyo imani yako?,umeshindwa kujibu badala yake unatoa maelezo mareeeeeefu badala ya kubaki ndani ya swali
Kama wewe ni mkristo. Ni kitu gani kinafanyika unapokuwa umefunga kwa maombi? Unapokuwa umefunga na kwaajili ya kuomba unakuwa unautisha mwili wako. Na ikitokea ukajifungia chumbani na kupata utulivu utakuwa unafanya meditation bila wewe kujua kuwa ile ni meditation.
Unapokuwa katika kipindi hicho cha maombi unakuwa na uwezo wa kuaccess consciousness yako. Yaani unajiunaganisha na uasili wako.
Kuhusu degree hizo 13 ni program maalum ya kwenda hatua kwa hatua kufikia lengo kuu la sisi kuja duniani. Kadir unavyozidi kufanya meditaiton utajua vitu vingi sana na utatamani uwafundishe watu wengine. Na hauwezi ukawafundisha mambo yote kwa mkupuo. Hatua ya kwanza unatakiwa ufundishe waweze kujitambua kisha wajue asili yao hala baada ya hapo wajue nguvu gani walizo nazo. Wajue uhusiano wao na watu wengine. Ni mambo mengi ya kujifunza. Na kuu kuliko yote lengo letu sisi hapa duniani ni nini? Na zaidi ya yote kufanya dunia better place for all human kind.
Nguvu ambayo uliyonayo wewe ni uchaguzi unataka uitumie kwa ajili ya nini Kama uchawi ni wewe kama mvuto ni wewe kama utawala ni wewe kama miujiza ni wewe. Haina mipaka.
Mkuu hayo maelezo yako hayafanyi kuwa ndiyo hitimisho la kutokuwepo kwa Mungu hata kidogo. Kwa sababu kama kinachohitajika ni kujulikana kama mungu au hayupo, sasa hayo maelezo uliyoeleza hapo yanahusika vp hadi yawe ndiyo sababu za kutokuwepo kwa Mungu? Chukulia kwamba hayo matatizo yasingekuwepo ndiyo ungeamini kuwa mungu yupo?
Au je,mungu asingesema kama ana upendo pia ndiyo ungekuwa hauna sababu ya kukataa kuwa yupo?
Hiyo ni hoja dhaifu sana ambayo atheists wamekaririshwa,hivi kama uliwahi kuwa muumini wa dini yeyote hapo kabla jiulize kama uliwahi kufikiri hoja kama hiyo?
Hiyo ni hoja maalumu ya kupinga mungu tu, ukiitafakari kwa fikira zilizohuru utaona udhaifu(kibaya mnaambiwa wanaoamini mungu hawana uhuru wa mawazo).
Na pia mungu hajawaacha tu hao wanaofanyia wenzao maovu,na ndiyo maana kuna kufa na kufufuliwa ili kila mtu akalipwe kwa kila alilolitenda liwe zuri au baya huko kwa hakimu wa mahakimu.
Unafikiria vizuri sana mkuu
But jaribu kuchimba zaidi na kuwa flexible katika kuwaza na ikiwezekana anza breath meditation
Then utaniambia kuhusu wewe na mwili wako
Coz kuna mtu na mwili wa mtu
Mkuu hayo maelezo yako hayafanyi kuwa ndiyo hitimisho la kutokuwepo kwa Mungu hata kidogo. Kwa sababu kama kinachohitajika ni kujulikana kama mungu au hayupo, sasa hayo maelezo uliyoeleza hapo yanahusika vp hadi yawe ndiyo sababu za kutokuwepo kwa Mungu? Chukulia kwamba hayo matatizo yasingekuwepo ndiyo ungeamini kuwa mungu yupo?
Au je,mungu asingesema kama ana upendo pia ndiyo ungekuwa hauna sababu ya kukataa kuwa yupo?
Hiyo ni hoja dhaifu sana ambayo atheists wamekaririshwa,hivi kama uliwahi kuwa muumini wa dini yeyote hapo kabla jiulize kama uliwahi kufikiri hoja kama hiyo?
Hiyo ni hoja maalumu ya kupinga mungu tu, ukiitafakari kwa fikira zilizohuru utaona udhaifu(kibaya mnaambiwa wanaoamini mungu hawana uhuru wa mawazo).
Na pia mungu hajawaacha tu hao wanaofanyia wenzao maovu,na ndiyo maana kuna kufa na kufufuliwa ili kila mtu akalipwe kwa kila alilolitenda liwe zuri au baya huko kwa hakimu wa mahakimu.
Mkuu labda nianze kueleza kwa kutumia mfano wa uchawi. Mkuu hata uchawi pia unafundishwa hivyo mtu yeyote anaweza kuwa mchawi endapo ataamua kuufanya huo uchawi,na inajulikana asili ya uchawi na chanzo cha nguvu yake inapatikana vp.
Sasa mie nachotaka kufahamu kuhusu hiyo meditation, ni kwamba hivi hivyo nguvu ambayo mnasema binadamu tunayo kupitia hiyo meditation hivi chanzo chake ni wapi au imetoka wapi? Na hiyo elimu yote ambayo unasema wengine wanasoma hadi degrees 13,je,unaweza kunielezea historia ya hiyo elimu japo kwa uchache?
Nauliza maswali hayo maswali hayo kwa sababu mie sioni tofauti ya hiyo meditation na ushirikina.
Baada ya hapo jaribu Death meditation
Baada ya hapo jaribu Death meditation