Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)


Biblia ni mkisanyiko wa vitabu vingi. Lakini tunapoongelea injili. Asilimia kubwa ya waandishi wa injili ni wale waliosimuliwa. Kwa sababu vitabu hivyo vya injili vinaongelea injili ya mtu mmoja binatakiwa vitoe stori inayofanana.

Kuchukua mistari iliyopo humo ndani na inaendana na vita vya tamaduni nyingine haininyimi kufikisha ujumbe wangu kwa wahusika.

Mimi sina mipaka ya kusoma kitabu chochote na kutumia reference katika uhalisia ambao nataka kuwafikishia jamii.

Nitasoma kitabu cha kila namna ili mradi nifikie hatima ya ukweli halisi.
 
Mkuu naomba ufafanunue hapo kwenye red,kivipi yani?
 
Mkuu naomba ufafanunue hapo kwenye red,kivipi yani?
Capitalists, Missionaries na wapelelezi hao wote ni dini ya kikristo. Wameleta gape kubwa sana kwa aliyenacho na asiye nacho. Wameleta matumizi ya pesa kuwa kipimo cha maisha mazuri. Wamewapandikiza watu wao utumwa wa kifikra na kuamusha ari ya hasira ya kisasi kwa watu wanaokandamizwa.

Kutukana mila na tamaduni zingine kuwa ni za kishenzi na kuwaonesha watu kuwa utamaduni wao ambao ni wa kuunda kuwa ni wa ukweli. Nchi zinazojiita za kikristo kwa nini zinabagua dini zingine?
 
Near death experience ni yangu mimi. Lakini practical inafanyika through meditation.

Nimesema near death huwa inatokea automatically huwezi ukaifanya.

Inatokea automatically kivipi? Kwa mtu wa namna gani? Mbona mimi haijawahinitokea?
 
Inatokea automatically kivipi? Kwa mtu wa namna gani? Mbona mimi haijawahinitokea?

Nimeeleza kuwa. Si kila mtu anweza akapata near death experience. Huwa inatokea pale mtu either anaumwa na kufikia hali ya kufa kabisa na watu wakajua amekufa halafu baadae anarudi. Ni hali hiyo.
 
Nimeeleza kuwa. Si kila mtu anweza akapata near death experience. Huwa inatokea pale mtu either anaumwa na kufikia hali ya kufa kabisa na watu wakajua amekufa halafu baadae anarudi. Ni hali hiyo.
Mkuu wewe ishawahi kukutokea hiyo near death, au umehadithiwa mtu kama ufanyavyo wewe hapa?
 
Nimeeleza kuwa. Si kila mtu anweza akapata near death experience. Huwa inatokea pale mtu either anaumwa na kufikia hali ya kufa kabisa na watu wakajua amekufa halafu baadae anarudi. Ni hali hiyo.

Wewe ulishawahi kutokewa na hali hiyo?

Tell us what have you been experienced on that state.
 
Wewe ulishawahi kutokewa na hali hiyo?

Tell us what have you been experienced on that state.

Nimesha wahi. Ndio kwa kweli hali hiyo ni ngumu sana kuieleza. Lakini kwa ufupi unakutana na vitu vizuri sana ambavyo havipo hapa duniani. Unakutana na viumbe wa aina tofauti tofauti.

Kuna viumbe wenye uwezo mkubwa sana tofauti na wengine. Kuna realm tofauti tofauti na viumbe wanaokaa katika realms hizo wanatofautiana uwezo.
Kwa kweli ni vigumu kuelezea. Kunawengine wapo wanajiandaa kuja duniani wengine wanatoka huku duniani. Ni mambo mengi sana.
 
Mkuu nimekupata sana
 
Naomba wanajamvi...mumuache mtoa mada atoe mada yake kwa kina...sana....badala ya counter-attack...kabla hajaweka ushahidi wakutosha....then baadae tutabainisha lip ni lip...kiukweli kabsa....ni wachache sana wanaweza kutetea dini zao kwa haki kabsa...ni sababu ni kwamba...wengi wetu hatujafanya tafti za kina kuhusiana na tunachoamini...tunaamini tu kwasbb kubwa mbili...ya kwanza..wazazi walitupeleka sunday school au madrasa wakati akili zetu zikiwa changa...zikapokea kila kitu kama kweli vile...na sbb ya pili ni woga kujaribu kufahamu upande wa pili wa unachoamini ....critism and facts....thats why hadi leo watafuata mambo bila kuhoji...kwa kifupi kabsa naomba wakristo wasome kitabu misquating jesus...na waislam wasome misquating mohamed...hawa ni wasomi mapro...walioandika hiz nondo....sasa Annael...uwanja ni wako...
 


Basi sawa tumekuelewa
 
what form of power is that??..and where its is from? Can you give me biology explanation
 

Dah! Mkuu itabidi tu nisubiri ile mada uliyosema utaileta coz hapo nna maswali lukuki ya kuuliza. Ningependa tu kichwa cha habari kiwe 'kabla ya kuzaliwa mwanadamu na baada ya kufa'

Andaa tu mkuu.
 

Mkuu nimedowload hiko kitabu but ni kikubwa na kinamazonge, ikiwa wewe wewe umekisoma na kukielewa just weka sababu kwanini uislamu sio njia mzuri ya kufuata huku ukiambatanisha na reference (hope kutoka ktk Quran) then tutajadili.

Nipo kusikiliza hoja zako...
 
Tatizo kila mtu anamuona mwenzie ndiyo kamezesheswha halafu yeye ndiyo ana mawazo huru,sasa uwanja huu ndiyo ungeamua ni yupi kamezeshwa na yupi hajamezeshwa.

Kile ambacho hujamezeshwa ni kile ambacho umerialize ww binafsi
So Yule aliemezeshwa ni Yule anekubali vitu tu bila ushahidi wa ukweli kutoka ndani yake kwa mfano tulimezeshwa tangu utotoni kuhusu mungu inabidi tumwogope lakini tukashindwa kujiuliza kwa nini tusimuogope shetani inaesemakana anatutia majribuni then tumwogope mungu ambaye ni rafiki
So Kama huwezi kuwaza kutoka ndani mwako binafsi au hauna realization binafsi kuhusu mambo yanayozungumziwa mtaani hapo utakuwa unaishi kwa kumeza
But Kama unameditate inavyotakiwa hautaweza kuishi kwa kumeza tena ila utakuwa unaelewa
Tofauti kubwa kati ya mtu anaemeditate na asie meditate ni kwamba meditator anajifunza kutoka ndani yake but asie meditate anajifunza kutoka nje
Nafikiri umenielewa
Thanks
 
Mie siulizi aina za meditation au faida zake. Labda niulize kidogokidogo, mfano mnaposema kuwa tuna nguvu ambazo wengi hawajijui,sasa mie nachotaka kujua chanzo cha hizo nguvu imetoka wapi?

Mkuu nguvu hiyo ipo tu haina mwanzo wala mwisho ila pazia lipo katika kuifikia
Kuna law moja ya physics inasema
"Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another "
Thats how life it is.
 

Kama nilivyosema kwamba uwanja huu ndiyo tutajua nani kamezeshwa na nani hajamezeshwa,kukaa tu na kuwaambia watu wamemezeshwa haisaidii kwa sababu wao nao pia wanakuona umemezeshwa.
 
Mkuu nguvu hiyo ipo tu haina mwanzo wala mwisho ila pazia lipo katika kuifikia
Kuna law moja ya physics inasema
"Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another "
Thats how life it is.

Mkuu hapo kwenye red panahitajika kuamini tu(kama zilivyo imani zengine ambazo tunaambiwa wamemezeshwa) ili ndiyo tuweze kwenda sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…