Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Nilifikiri nimeliweka sawa hilo la uandishi wa Biblia, litatutoa kwenye huu uzi, ndio maana nililiweka pale lilipo husikakuonyesha yanapopatikana maandiko.

Nasubiria hilo somo kamili ili nione qualities za hivyo vyanzo vyako nje ya Biblia ambayo tayari umeshaleta mistari yake kadhaa kwenye hili somo. Karibu!

Biblia ni mkisanyiko wa vitabu vingi. Lakini tunapoongelea injili. Asilimia kubwa ya waandishi wa injili ni wale waliosimuliwa. Kwa sababu vitabu hivyo vya injili vinaongelea injili ya mtu mmoja binatakiwa vitoe stori inayofanana.

Kuchukua mistari iliyopo humo ndani na inaendana na vita vya tamaduni nyingine haininyimi kufikisha ujumbe wangu kwa wahusika.

Mimi sina mipaka ya kusoma kitabu chochote na kutumia reference katika uhalisia ambao nataka kuwafikishia jamii.

Nitasoma kitabu cha kila namna ili mradi nifikie hatima ya ukweli halisi.
 
Hapa ndugu yangu sijabadili msimamo wangu upo pale pale. Nimetumia hiyo biblia kama reference ya kufikisha ujumbe kwa wenzetu watu wa dini. Ukiisoma vizuri nimeweka wazi kabisa. Na unajua chanzo cha maasi yote haya asilimia kubwa inasababishwa na hii dini ya kikristo.
Mkuu naomba ufafanunue hapo kwenye red,kivipi yani?
 
Mkuu naomba ufafanunue hapo kwenye red,kivipi yani?
Capitalists, Missionaries na wapelelezi hao wote ni dini ya kikristo. Wameleta gape kubwa sana kwa aliyenacho na asiye nacho. Wameleta matumizi ya pesa kuwa kipimo cha maisha mazuri. Wamewapandikiza watu wao utumwa wa kifikra na kuamusha ari ya hasira ya kisasi kwa watu wanaokandamizwa.

Kutukana mila na tamaduni zingine kuwa ni za kishenzi na kuwaonesha watu kuwa utamaduni wao ambao ni wa kuunda kuwa ni wa ukweli. Nchi zinazojiita za kikristo kwa nini zinabagua dini zingine?
 
Near death experience ni yangu mimi. Lakini practical inafanyika through meditation.

Nimesema near death huwa inatokea automatically huwezi ukaifanya.

Inatokea automatically kivipi? Kwa mtu wa namna gani? Mbona mimi haijawahinitokea?
 
Inatokea automatically kivipi? Kwa mtu wa namna gani? Mbona mimi haijawahinitokea?

Nimeeleza kuwa. Si kila mtu anweza akapata near death experience. Huwa inatokea pale mtu either anaumwa na kufikia hali ya kufa kabisa na watu wakajua amekufa halafu baadae anarudi. Ni hali hiyo.
 
Nimeeleza kuwa. Si kila mtu anweza akapata near death experience. Huwa inatokea pale mtu either anaumwa na kufikia hali ya kufa kabisa na watu wakajua amekufa halafu baadae anarudi. Ni hali hiyo.
Mkuu wewe ishawahi kukutokea hiyo near death, au umehadithiwa mtu kama ufanyavyo wewe hapa?
 
Nimeeleza kuwa. Si kila mtu anweza akapata near death experience. Huwa inatokea pale mtu either anaumwa na kufikia hali ya kufa kabisa na watu wakajua amekufa halafu baadae anarudi. Ni hali hiyo.

Wewe ulishawahi kutokewa na hali hiyo?

Tell us what have you been experienced on that state.
 
Wewe ulishawahi kutokewa na hali hiyo?

Tell us what have you been experienced on that state.

Nimesha wahi. Ndio kwa kweli hali hiyo ni ngumu sana kuieleza. Lakini kwa ufupi unakutana na vitu vizuri sana ambavyo havipo hapa duniani. Unakutana na viumbe wa aina tofauti tofauti.

Kuna viumbe wenye uwezo mkubwa sana tofauti na wengine. Kuna realm tofauti tofauti na viumbe wanaokaa katika realms hizo wanatofautiana uwezo.
Kwa kweli ni vigumu kuelezea. Kunawengine wapo wanajiandaa kuja duniani wengine wanatoka huku duniani. Ni mambo mengi sana.
 
Capitalists, Missionaries na wapelelezi hao wote ni dini ya kikristo. Wameleta gape kubwa sana kwa aliyenacho na asiye nacho. Wameleta matumizi ya pesa kuwa kipimo cha maisha mazuri. Wamewapandikiza watu wao utumwa wa kifikra na kuamusha ari ya hasira ya kisasi kwa watu wanaokandamizwa.

Kutukana mila na tamaduni zingine kuwa ni za kishenzi na kuwaonesha watu kuwa utamaduni wao ambao ni wa kuunda kuwa ni wa ukweli. Nchi zinazojiita za kikristo kwa nini zinabagua dini zingine?
Mkuu nimekupata sana
 
Naomba wanajamvi...mumuache mtoa mada atoe mada yake kwa kina...sana....badala ya counter-attack...kabla hajaweka ushahidi wakutosha....then baadae tutabainisha lip ni lip...kiukweli kabsa....ni wachache sana wanaweza kutetea dini zao kwa haki kabsa...ni sababu ni kwamba...wengi wetu hatujafanya tafti za kina kuhusiana na tunachoamini...tunaamini tu kwasbb kubwa mbili...ya kwanza..wazazi walitupeleka sunday school au madrasa wakati akili zetu zikiwa changa...zikapokea kila kitu kama kweli vile...na sbb ya pili ni woga kujaribu kufahamu upande wa pili wa unachoamini ....critism and facts....thats why hadi leo watafuata mambo bila kuhoji...kwa kifupi kabsa naomba wakristo wasome kitabu misquating jesus...na waislam wasome misquating mohamed...hawa ni wasomi mapro...walioandika hiz nondo....sasa Annael...uwanja ni wako...
 
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu.
Hii ni kinyume kabisa na amri kumi ,kusema sisi ni miungu,ni kama unaabudu miungu mingine,wakati tumeambiwa tusiambudu miungu mingine.Sina wasiwasi najua this is satan at work na kwa amabao hawajui watajiingiza huku,meditation ni njia mojawapo ya kuingia kwenye ulimwengu wa kiroho ambao kuna roho chafu,nia yao ni kukufanya uwe negative kwenye maisha yako,uwe mwenye hofu.kwa njia nyingi za udanganyifu,kumbuka yule nyoka alikua ni mjanja sana,na ana mbinu nyingi za kuwapotosha watu.Na huyu jamaa anatumia bible kuwalaghai ,just like the way satan alitumia bible kumjaribu yesu.Medidation itakupeleka ulimwengu wa kiroho ambao kuna roho wachafu ,narudia tena,roho wachafu.Tafuteni kumjua mungu zaidi,na sio kumjua shetani!

Basi sawa tumekuelewa
 
i read, word by word...i agree with power of meditation...i use it most of time for many yrs nw...

But...but....unaanza to cross the lines #annael ...
Kabla hatujazaliwa tulikuwa sperms and female eggs....xy or xx chromosomes ziliungana mimba ikatongwa tukazaliwa...period...periooooood...!!!

Na tukifa, unazikwa kaburini, unaoza, nowhere to go....ukifa umekufaaa, kwishaaa...perioooood....!!!!

Don't cross those lines utadanganya watu hapa....kuna watu maisha yao yako hovyo humu, wataanza kujiua bureee wakizani kuna maisha bora huko mbeleni...wako, so usiwaambie watu eti kabla hatujaja duniani tulikuwa somewhere...au baada ya kufa tutaenda somewhere or mbinguni....watu watajiua huku...wako watu hamnazo.....

So bottom line, ukifa tunakulia wali na pilau, na juice, soda, maji, kisha tunakuaga, na kukuzika, ardhini, sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi... Mwisho wa habari yako...no where utaenda baada ya hapo...!!!
About meditation kweli ina nguvu it depends how much umewekeza kifikira....in short meditation ni concentration ya kiwango cha juu, kuhusu jambo fulani...na utafanikiwa sbb umeweka kila wazo na vitendo ktk jambo ulilo concentrate sana sana...!!! So spirit together with actions at highly concentrated mood, long time practice...make you succeed for wht u aimed for....!!!
what form of power is that??..and where its is from? Can you give me biology explanation
 
Nimesha wahi. Ndio kwa kweli hali hiyo ni ngumu sana kuieleza. Lakini kwa ufupi unakutana na vitu vizuri sana ambavyo havipo hapa duniani. Unakutana na viumbe wa aina tofauti tofauti.

Kuna viumbe wenye uwezo mkubwa sana tofauti na wengine. Kuna realm tofauti tofauti na viumbe wanaokaa katika realms hizo wanatofautiana uwezo.
Kwa kweli ni vigumu kuelezea. Kunawengine wapo wanajiandaa kuja duniani wengine wanatoka huku duniani. Ni mambo mengi sana.

Dah! Mkuu itabidi tu nisubiri ile mada uliyosema utaileta coz hapo nna maswali lukuki ya kuuliza. Ningependa tu kichwa cha habari kiwe 'kabla ya kuzaliwa mwanadamu na baada ya kufa'

Andaa tu mkuu.
 
Naomba wanajamvi...mumuache mtoa mada atoe mada yake kwa kina...sana....badala ya counter-attack...kabla hajaweka ushahidi wakutosha....then baadae tutabainisha lip ni lip...kiukweli kabsa....ni wachache sana wanaweza kutetea dini zao kwa haki kabsa...ni sababu ni kwamba...wengi wetu hatujafanya tafti za kina kuhusiana na tunachoamini...tunaamini tu kwasbb kubwa mbili...ya kwanza..wazazi walitupeleka sunday school au madrasa wakati akili zetu zikiwa changa...zikapokea kila kitu kama kweli vile...na sbb ya pili ni woga kujaribu kufahamu upande wa pili wa unachoamini ....critism and facts....thats why hadi leo watafuata mambo bila kuhoji...kwa kifupi kabsa naomba wakristo wasome kitabu misquating jesus...na waislam wasome misquating mohamed...hawa ni wasomi mapro...walioandika hiz nondo....sasa Annael...uwanja ni wako...

Mkuu nimedowload hiko kitabu but ni kikubwa na kinamazonge, ikiwa wewe wewe umekisoma na kukielewa just weka sababu kwanini uislamu sio njia mzuri ya kufuata huku ukiambatanisha na reference (hope kutoka ktk Quran) then tutajadili.

Nipo kusikiliza hoja zako...
 
Tatizo kila mtu anamuona mwenzie ndiyo kamezesheswha halafu yeye ndiyo ana mawazo huru,sasa uwanja huu ndiyo ungeamua ni yupi kamezeshwa na yupi hajamezeshwa.

Kile ambacho hujamezeshwa ni kile ambacho umerialize ww binafsi
So Yule aliemezeshwa ni Yule anekubali vitu tu bila ushahidi wa ukweli kutoka ndani yake kwa mfano tulimezeshwa tangu utotoni kuhusu mungu inabidi tumwogope lakini tukashindwa kujiuliza kwa nini tusimuogope shetani inaesemakana anatutia majribuni then tumwogope mungu ambaye ni rafiki
So Kama huwezi kuwaza kutoka ndani mwako binafsi au hauna realization binafsi kuhusu mambo yanayozungumziwa mtaani hapo utakuwa unaishi kwa kumeza
But Kama unameditate inavyotakiwa hautaweza kuishi kwa kumeza tena ila utakuwa unaelewa
Tofauti kubwa kati ya mtu anaemeditate na asie meditate ni kwamba meditator anajifunza kutoka ndani yake but asie meditate anajifunza kutoka nje
Nafikiri umenielewa
Thanks
 
Mie siulizi aina za meditation au faida zake. Labda niulize kidogokidogo, mfano mnaposema kuwa tuna nguvu ambazo wengi hawajijui,sasa mie nachotaka kujua chanzo cha hizo nguvu imetoka wapi?

Mkuu nguvu hiyo ipo tu haina mwanzo wala mwisho ila pazia lipo katika kuifikia
Kuna law moja ya physics inasema
"Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another "
Thats how life it is.
 
Kile ambacho hujamezeshwa ni kile ambacho umerialize ww binafsi
So Yule aliemezeshwa ni Yule anekubali vitu tu bila ushahidi wa ukweli kutoka ndani yake kwa mfano tulimezeshwa tangu utotoni kuhusu mungu inabidi tumwogope lakini tukashindwa kujiuliza kwa nini tusimuogope shetani inaesemakana anatutia majribuni then tumwogope mungu ambaye ni rafiki
So Kama huwezi kuwaza kutoka ndani mwako binafsi au hauna realization binafsi kuhusu mambo yanayozungumziwa mtaani hapo utakuwa unaishi kwa kumeza
But Kama unameditate inavyotakiwa hautaweza kuishi kwa kumeza tena ila utakuwa unaelewa
Tofauti kubwa kati ya mtu anaemeditate na asie meditate ni kwamba meditator anajifunza kutoka ndani yake but asie meditate anajifunza kutoka nje
Nafikiri umenielewa
Thanks

Kama nilivyosema kwamba uwanja huu ndiyo tutajua nani kamezeshwa na nani hajamezeshwa,kukaa tu na kuwaambia watu wamemezeshwa haisaidii kwa sababu wao nao pia wanakuona umemezeshwa.
 
Mkuu nguvu hiyo ipo tu haina mwanzo wala mwisho ila pazia lipo katika kuifikia
Kuna law moja ya physics inasema
"Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another "
Thats how life it is.

Mkuu hapo kwenye red panahitajika kuamini tu(kama zilivyo imani zengine ambazo tunaambiwa wamemezeshwa) ili ndiyo tuweze kwenda sawa.
 
Back
Top Bottom