Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
- Thread starter
- #121
Nilifikiri nimeliweka sawa hilo la uandishi wa Biblia, litatutoa kwenye huu uzi, ndio maana nililiweka pale lilipo husikakuonyesha yanapopatikana maandiko.
Nasubiria hilo somo kamili ili nione qualities za hivyo vyanzo vyako nje ya Biblia ambayo tayari umeshaleta mistari yake kadhaa kwenye hili somo. Karibu!
Biblia ni mkisanyiko wa vitabu vingi. Lakini tunapoongelea injili. Asilimia kubwa ya waandishi wa injili ni wale waliosimuliwa. Kwa sababu vitabu hivyo vya injili vinaongelea injili ya mtu mmoja binatakiwa vitoe stori inayofanana.
Kuchukua mistari iliyopo humo ndani na inaendana na vita vya tamaduni nyingine haininyimi kufikisha ujumbe wangu kwa wahusika.
Mimi sina mipaka ya kusoma kitabu chochote na kutumia reference katika uhalisia ambao nataka kuwafikishia jamii.
Nitasoma kitabu cha kila namna ili mradi nifikie hatima ya ukweli halisi.