Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Mimi ni shuhuda. Nimefanya med. kwa muda sasa.Na yale niliyoyaomba yametimia yote

Sign nilizopata ni kuhisi kuchomwa mwili hasa miguuni kama vile sindano.Kusikia kitu kinatekenya katikati ya panda la uso.
Kujisikia kama vile kuna mtu anananisadia nikiwa nafanya jambo. I am not alone.
Nimeona niseme tu lakini wengi wetu hapa hawatanielewa maana hili ndilo somo kuu katika spiritual world.
 
Na pengine ndiyo somo gumu zaidi...!!
 
Me nimeanza kumeditate na naona mikono yang ina nyanyuka yenyew na kutengeneza maumbo tofauti kila siku mikono inajinyanyua na kutengeneza umbo tofauti xaxa najiuliza yale maumbo yana maanisha nn
Maumbo yenyew n kama pembe tatu , mduara ,mcheduara na mengine cyaelewi ndugu annael nomba nifafanulie apa...
 
kapime malaria , inaanza kupanda kichwan
 
Mimi ni shuhuda. Nimefanya med. kwa muda sasa.Na yale niliyoyaomba yametimia yote

Sign nilizopata ni kuhisi kuchomwa mwili hasa miguuni kama vile sindano.Kusikia kitu kinatekenya katikati ya panda la uso.
Kujisikia kama vile kuna mtu anananisadia nikiwa nafanya jambo. I am not alone.
Nimeona niseme tu lakini wengi wetu hapa hawatanielewa maana hili ndilo somo kuu katika spiritual world.

Mnanitamanisha sana yani dah!
 
nilijaribu kumeditate ili kujitibu maumivu ya mgongo na kuchwa kiukwel matokeo yake nimeyaona na ninapona kabisa.

wiki km mbili hivi zimepita kila nikijaribu nakua km blocked ivi, sijiskii the way nlikua nafeel hapo mwanzo hadi kujiponya, naeza jaribisha k
hata nusu saa lakini wapi, wakat hapo mwazo ilikua nafanya dakika tano tu naanza kuona hali flan iv(nashindwa kuieleza nieleweke)

sasa mtaalam RAKhim em niambie nn tatizo, nakosea nini

mara zote huwa nameditate nikiwa nimelala chali

kitu kingine saiv inafika wakat nahis mate yanajaa mdomoni(ile hali km umeona limao) so inabidi nimeze alaf nianze upya, pia nakua nahis km shot flan iv, inabid niache.

lkn ni ukweli meditation inanisaidia kwa kujitibu maumivu
 
Last edited by a moderator:

Mm nikimeditate naishilia usingizini nikiota mandoto mfululizo tu.
 
Last edited by a moderator:
wapi mtaalamu Rakims, naskia umekula hela za bando bwana kule wasap. Hahahaha mambo ya jf haya.
 
Last edited by a moderator:
Nilipo ona citations za bibilia automatically ni ka sizi nilijua kuwa hii miujiza itakuwa supported na science kumbe hola
 
Biblia ni kama vitabu vingine vya hadith za kale. Unajua ukitaka kuishi na kupata watu kutoka kwenye jamii fulani fanana nao kwa kitambo. Hatimaye waeleze ukweli kuwa hakuna kitu kinachoitwa mungu duniani, mungu kaumbwa na watu na sio kuwa mungu kawaumba watu. Kwa sababu watu hao wamefungwa na vifungo vya imani. Ni vyema kuwapa elimu kidogo kidogo mwisho wa siku somo litaeleweka na kuiweka dunia kuwa mahali salama kwa watu wote. Hii ndio ninayo isema NWO lazima elimu ipite kwanza na ndipo tutakapofikia kipindi cha kuweka silaha chini na kuwa kitu kimoja. Laki ni sharti mambo ya dini yafe kabisaaaaa.
..................knowledge yako nakumbuka nilishawahi kuipata kwa mtu anaitwa munga tehnan..................ni marehemu sasa hivi................elimu ya utambuzi naikubali but ishu ya kusema kwamba mungu hayupo naikataa vibaya sana...............thats why i stick on a single revealed knowledge from the Qoran there i get everything from psychology, military science, political science, medicine,space engineering,nuclear physics,and other staffs.........thanks to prophet mohammed and his swahaba's for being the transmiter of this knowledge
 
Inachukua muda gani au kipindi gani hadi nianze kufaidi kuona?Maana nafanya sana ila bado sioni laivu zaidi ya ganzi na kuona mikono ikiinuliwa
 
Pia kwa kuongezea zaidi, kufanya miujiza ni idea ambayo wengi wanakosea kuelewa maana yake ni nini.

Kiuhalisia hamna miujiza ulimwenguni, bali kile ambacho mtu anaona ni ajabu ndicho anaona ni miujiza. Imagine unapoamka asubuhi, thats the miracle. Ulilala na consciousness yako iliachana na mwili na asubuhi ufahamu wako unarudi na unaamka, kila sekunde ni miujiza, kila wakati uliopo ni miujiza, imagine miaka mitano iliyopita ulikuwa wapi na hivi sasa upo wapi, thats the miracle. Life is a miracle.

Kwa mwanadamu mwenye busara haitaji miujiza kwani tayari ipo miujiza na sio miujiza kwani tunaiita ni miujiza kwa sababu hatufahamu source yake ya uwepo, bado hujatambua cause and effect yake ndio maana tunaita ni miujiza.
 
............. psychology, military science, political science, medicine,space engineering,nuclear physics,and other staffs.........

Tushirikishe unachofahamu kwenye hayo niliyoyanukuu tafadhali.

Kaka.
 
Be careful, msije kuinvite demons katika maisha yenu, mkadhani mna nguvu za kutenda za ajabu kumbe ni yule muovu na mawakala wake ndiyo watendaji!

Lengo la huyo muovu ni nini?, Ili mjiamini kuwa nyie ni waweza na hivyo mumsahau Mwingi wa Rehma.

Be careful
 
Back
Top Bottom