- Thread starter
- #41
A
Ahsante mkuu kwa clarificationsAliyekudanganya nani mkuu? Hivi mimi ninayepita kila siku kwenda na kuludi na wewe nani mkweli?
Ukisikia Alshababi walikuwepo Cabodelgado na pemba, siyo Mozambique nzima, Askari wa Tanzania walikuja mwaka jana kulinda mipaka kwa ajili ya usalama tu, na hakujawahi kutokea tukio lolote la utekaji kwa hiyo njia linalohusiana na Alshababi,