Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

Doh!asante mkuu,jamani kama kuna anayetumia kati ya barclays au CRDB na kashafanikiwa kuunganishwa online atujulishe kidogo tusiingie hovyo.

I use EXIM mastercard and CRDB VISA Electron on paypal with no problem

It' true getting the crdb visa electron card to be verified is a bit tricky as most of our. Service companies in tz have poor xustomer service or non

At the back of your crdb visa electron card you will find tel # for card service

Call and ask for one Mr Ngallo. He will read you the verifications codes promptly

The problem occurs when you don't have credit on your card top up your card and you should be fine

Exim card service wako 6th floor kitega uchumi go there watakwambia kama una funds za kutosha au la

The problem occurs when you don't have credit on your card top up your card and you should be fine

Exim card service wako 6th floor kitega uchumi go there watakwambia kama una funds za kutosha au la

Mbona hawa exim wana mambo ya kibabe?Mimi akaunti yangu ina kiasi cha kutosha kabisa.Tatizo ni zile namba nikiziweka pale ndio shughuli!HAZIKUBALI!!!Mi nipo Moshi,hapa hapa wataweza kunisaidia kweli?!

Mbona mi ya kwangu inakataa?Au inahitajika uwe mteja kwa kipindi fulani ndo uwezeshwe?

Mbona hawa exim wana mambo ya kibabe?Mimi akaunti yangu ina kiasi cha kutosha kabisa.Tatizo ni zile namba nikiziweka pale ndio shughuli!HAZIKUBALI!!!Mi nipo Moshi,hapa hapa wataweza kunisaidia kweli?!

Exim wana problem kwenye billing, kama ulishatumia hiyo card yako

Yawezekana top up zako hazijafika card centre
Talk with card centre people branch hawajui lolote

Exim wana problem kwenye billing, kama ulishatumia hiyo card yako

Yawezekana top up zako hazijafika card centre
Talk with card centre people branch hawajui lolote

Oi!hold it there for one sec.Hawa card center people ndo wakina nani na nitawapataje?

Nimekuwa mara kwa mara nikinunua huduma mbalimbali online kwa kutumia Tembo Visa lakini si mara zote nimefanikiwa kwani mara nyingi hujibiwa kuwa My bank have declined transaction hivyo naona niwe na akaunti ya paypal tu.
Je kwa hapa TZ unafungua vp akaunti hiyo?
Need assistance please

Ingia kwenye paypal.com halafu ujisajili kwa kutumia visa card yako. hii kitu walisha diskasi humu jamvin kipindi fulani please usiwe mvivu kusachi kwanza, ukikosa ndo ufungue new thread.

Mkuu mimi umenisaidia sana sijui nisemeje nilikuwa natafuta sana hii information, lakini Mungu amekutumia kunisaidia kabisaaa!

Mungu akubariki

Nafikiri tumeambiwa kuwa maadamu usiitumie yenyewe tu bali tumia kupitia paypal ndio wanaogarantee usalama wa account yako, sijui kama mimi ndo sikuelewa lakini usitoe ile namba yako wewe kama wewe.

kama umeamua kufika hizi level sahau credit card za kibongo ni miyeyusho tupu unaweza ukaaibika bure

Wakuu nashindwa kujiregister paypal wiki ya 3 sasa nikiweka email password na hizo code zao haiendi mbele tena zaidi ya kuanza upya
tatizo laweza kuwa nini?

Wakuu nashindwa kujiregister paypal..wiki ya 3 sasa..nikiweka email..password na hizo code zao haiendi mbele tena zaidi ya kuanza upya...
tatizo laweza kuwa nini?

>>DOWNLOAD latest version ya google chrome au mozilla
>> Hilo tatizo utakuwa umelimaliza.

Habar wana jukwaa naomba mnisaidie jinsi ya kufungua paypal acc kwani kila nikijaribu nakutana na kikwazo cha zipcode na state natakiwa nijaze kitu gani katika sehemu hizo nipo mtwara natanguliza shukrani wakuu.

Thanks for your good explanations about PayPal,one small question again, what to do if I would like to sell my products online using the same PayPal.

jinsi ya kufungua akaunti ya PAYPAL. nakwama sehemu inayodai zip code. nifanyeje?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…