Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

Nenda kwenye wallet, halafu link credit card weka kadi yako namba za mbele na zile tatu za CVV ziko nyuma halafu nenda bank baada ya siku kadhaa request bank statement utakuta code kwenye statement yako kazipachike pale kuiactivate. Hiyo code utaikuta kwenye muamala maana ukiilink watakata pound moja kwenye akaunti yako ambayo ukishaweka hizo code watairefund
 
Ila akaunti yangu ninayo tumia saiv kulipwa online nimefungua Kama nipo Kenya yaan nimegushi kiufupi sasa nilijarb kufungua akaunti ya Tanzania ikagoma kuingiza pesa he hii niliyo nayo saiv inaweza kukubali kulink kadi
 
Tumia airtel au mpesa master card itakubari na unailink na code wapokea hapo hapo faster
 
Jamani leo nimeenda bank na nimeambiwa kua hakuna credit cards je? Ni card yeyote una link kwenye akaunti YAKO ilimrad iwe visa au master card au ni mpaka niwe na credit card.

Naombeni maelekezo tafadhali
 
Bro samahani Leo nimeenda bank na nkakuulz kuhs credit cards lkn wakanambi kua credit cards hawana crdb lkn Nina swali je? Kadi yyt inafaa ilimrad iwe visa au master card au ni lazma iwe ni credit card samahani naomba kuelewa hapo
 
Ivi leo nimeenda bank na nkakuulz kuhs credit cards na wakanambia hawana crdb Sasa swali langu he cards za kulink PayPal ni ZOZOTE zile ilimrad iwe visa au master card au ni mpaka niwe na credit cards naomba msaada Apo
 
Labda ntakijaribu kununua swiftcredit card itakubal kutuma pesa kwenye akaunti ya local bank???
 
Alaf pia sikumoia nataka kujifunza forex na naiman utanipa ujuz kdg hii no email yangu na namba ya wassup
alphaltsavage@gmail.com
tentacionsavage21@gmail.com
savagealphalt@gmail.com
0652567451
Tafadhar natamani Sana hii ktu I'll pay u for
Nakushauri kwa sasa usikimbilie kulipa mtu akufundishe Forex utatapeliwa bure , ingia You tube na google na bundle lako tu la data all stuffs are for free. Ukishapata mwanga ndio utafute mtu muonane Physically akuelekeze utakapokuwa umekwama, dont pay strangers online. All the best bro
 
Mkuu usiumize kichwa, kitu simple Sana, sajili master card na Airtel au Vodacom, Kisha link na PayPal, dakika 5 tu, Mimi nilipata shida pia, ila nimesajili mwezi Mach, na nimefanya malipo mara 4, pesa inakatwa kwenye Airtel money.
 
Mkuu kwanini usifungue Skrill account kisha uka link na Visacard yako ya Equity bank? kisha unaweka na kutoa hela ndani ya dakika sifuri

Use Skrill to send money to friends and relatives, pay and play online or make quick and easy international payments to merchants. Open an account: Skrill | My Account
Vipi usalama wake?
 
Back
Top Bottom