Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Zinapatikana wapi MziziMkavu
Zinapatikana wapi MziziMkavu
Wana JF,
Mwenzenu huwa nasisimka nikiona michirizi ya miguuni mwa kina mama, hasa mguu unapokuwa ni wa bia na mwororo (smooth). Mie nikiona hivyo, nywele hunisisimuka, na huba humwangukia mwenye miguu ya aina hiyo.
Hakika nia maajabu ya Mungu. Kuna siri gani katika michirizi hiyo? Mimi ni tofauti na wanaume wengine? Naomba wanasaikolojia mnisaidie.
Michirizi ya namna gani na ipo sehemu gani mwilini?
Sijawahi sikia dawa ya kupaka ikaponyesha, ni kuliwa hela tu.
Huwa wanafanya upasuaji wa ngozi, naskia Wema alienda kufanyiwa China.
Vinginevyo mwambie mkeo apunguze uzito kwa kiasi fulani na afanye mazoezi. Vvinginevyo atachanika kama karatasi🙂

Habarini wanaMMU,
MODs tafadhali naomba msiihamishie jf doctor hii sredi, nimeweka huku makusudi nikiamini watu wengi wanapita huku madaktari pia mf MziziMkavu wanapita huku
Kuna hii michirizi katika miili hasa ya wanawake wanene na hata wanaume wachache pia, kwa jinsi nilivyosiipendi hadi hasira, nilikuwa nikiona mwanamke anayo hata kama mahaba lundo naghairi,
Sasa tatizo hilo limetokea kwa mke wangu baada ya kuanza kunenepa kaanza katoka hiyo michirizi. Kwa kweli siipendi ile kitu hadi basi, na huyu ni mke wangu no way out. Naombeni kama kuna dawa yeyote nzuri ya kuondoa hiyo makitu.