Habarini wanaMMU,
MODs tafadhali naomba msiihamishie jf doctor hii sredi, nimeweka huku makusudi nikiamini watu wengi wanapita huku madaktari pia mf
MziziMkavu wanapita huku
Kuna hii michirizi katika miili hasa ya wanawake wanene na hata wanaume wachache pia, kwa jinsi nilivyosiipendi hadi hasira, nilikuwa nikiona mwanamke anayo hata kama mahaba lundo naghairi,
Sasa tatizo hilo limetokea kwa mke wangu baada ya kuanza kunenepa kaanza katoka hiyo michirizi. Kwa kweli siipendi ile kitu hadi basi, na huyu ni mke wangu no way out. Naombeni kama kuna dawa yeyote nzuri ya kuondoa hiyo makitu.