Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Mkuu asante sana, hio Bio Oil inapatikana wapi? pharmacy or maduka ya urembo
 
Sio kivile kabisa.

Tena ukiwa mjamwepesi ndio uwii, unachanika kama pamba tu

Nilichogundua kusaidia ni mazoezi, ngozi sijui inakuwa tight, lakini ina nafuu.

Bio-oil??
 
Sio kivile kabisa.

Tena ukiwa mjamwepesi ndio uwii, unachanika kama pamba tu

Nilichogundua kusaidia ni mazoezi, ngozi sijui inakuwa tight, lakini ina nafuu.
mmh//mazoezi yanaondoa au ni kama kinga kabla ya kupata hayo mavitu?
 
Kama anatumia cream kweli inakera Hasa inapovimba kama anatembewa na minyoo chini ya ngozi ila kama ni vimichoro tu light vinavutia!!!
 
Kama anatumia cream kweli inakera Hasa inapovimba kama anatembewa na minyoo chini ya ngozi ila kama ni vimichoro tu light vinavutia!!!

Hiyo ambayo inakuwa kama kuna minyoo ndani naigopa sana kuitazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…