Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Mkuu nilitumia laki 3 kumtibu mdogo wangu wa kike hizo streach marks lakini hola,kwa hakika utaliwa pesa tu,dawa huwa na kufanyiwa upasuaji tu ambao unaweza kufanya filipino,thailand,india au china huko ni gharama nafuu.Nakushauri mnunulie Bio oil huwa anapaka ili zisiwe na shape ya kuchukiza.TAKE CARE,Usitumie dawa zozote zile kwani zinaleta kansa.
Mkuu asante sana, hio Bio Oil inapatikana wapi? pharmacy or maduka ya urembo