Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Habari wana JF

Wapendwa bila kupoteza wakati ningewaomba wale wataalam wa maswala ya ngozi especially ya wanawake wanaisaidie jinsi ya kuondoa michirizi katika mwili yaani "stretch marks"

Naombeni msaada wenu wadau, hii michirizi inanifanya nikose raha.

Asanteni
 
Tumia mafuta ya palmers ya mgando made in u.s.a,yanapatikana kwenye maduka makubwa ya vipodozi hayana chemical,but kua makini sababu yapo ya u.s.a na pia yapo ya kenya so unaponunua angalia kwanza ni wapi yametengenezwa cheki kwenye label pemben utagundua.
 
Bio oil changanya na mafuta ya Nazi ya mnara yamenisaidia sana imefifia kbs
 

Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…