Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Habari wana JF

Wapendwa bila kupoteza wakati ningewaomba wale wataalam wa maswala ya ngozi especially ya wanawake wanaisaidie jinsi ya kuondoa michirizi katika mwili yaani "stretch marks"

Naombeni msaada wenu wadau, hii michirizi inanifanya nikose raha.

Asanteni
 
Tumia mafuta ya palmers ya mgando made in u.s.a,yanapatikana kwenye maduka makubwa ya vipodozi hayana chemical,but kua makini sababu yapo ya u.s.a na pia yapo ya kenya so unaponunua angalia kwanza ni wapi yametengenezwa cheki kwenye label pemben utagundua.
 
Bio oil changanya na mafuta ya Nazi ya mnara yamenisaidia sana imefifia kbs
 
Tumia mafuta ya palmers ya mgando made in u.s.a,yanapatikana kwenye maduka makubwa ya vipodozi hayana chemical,but kua makini sababu yapo ya u.s.a na pia yapo ya kenya so unaponunua angalia kwanza ni wapi yametengenezwa cheki kwenye label pemben utagundua.

Shukran
 
Wakuu polenI na mishe,

Nina swali hapa wakuu.

Hivi ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao au nyege?

Stretch-lines-on-knees-and-behind-knees.jpg
 
Back
Top Bottom