Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

INAITWA STRIAE
Ila maranyingi hutokea kwenye matumbo ya akina mama waliowahi kubeba mimba ( [gravidity]...
MICHIRIZI HII hutokea kutokana na kuongezeka uzito wakati wa ujauzito [MIMBA] na kufanya misuli ya mwili kutanuka [MUSCLE STRETCHING] baada ya kujifunguaa uzito hupungua na misuli hurudi ktk hali yake ya kawaida na kusababisha michirizi kwenye ngoziii,

HABARI ZA UTAMU NI UPOTOSHAJI MKUBWA
TIZAMA PICHA HAPO CHINI


[emoji116] [emoji116] [emoji116]






 
Inatia kinyaa pale mtu anapokua na hiyo mistar then asijiweke smart
 
Nasikia yana mafuta yake haya ukipaka yanaisha
 
Mwenye nayo ani PM tukafanye research plz !!!
 
Kuna wengine zipo hadi kwenye makalio sa huwa najiuliza zinafata nn huko
 
unene yaani hapo mtu alikuwa mwembamba kanenepa au wale jambo squad wana wimbo wanasema kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema
 
Kwani inakaaga nyuma ya goti Tu? Yangu haiko nyuma ya goti


Kuna wanawake wengine ipo kwenye mikono na wengine kwenye chura na wengine mpaka tumboni (waliozaa). Lakini chanzo chake ni kunenepa, ndio maana wanawake wengi wanene wana hiyo michirizi. Wale wanaodai ni michirizi ya utamu nadhani ni utashi wao tu, ila mimi nikiiona inanikera sana na wala hainiongezei ashk majinuni hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…