Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Ngozi imejistreanch baada ya kuongezeka unene,so inaacha alama hiyo ya streanchmark
 
Kuna wanawake wengine ipo kwenye mikono na wengine kwenye chura na wengine mpaka tumboni (waliozaa). Lakini chanzo chake ni kunenepa, ndio maana wanawake wengi wanene wana hiyo michirizi. Wale wanaodai ni michirizi ya utamu nadhani ni utashi wao tu, ila mimi nikiiona inanikera sana na wala hainiongezei ashk majinuni hata kidogo.
Hakuna kitu kigumu kudeal nacho Kama stretch Mark ukishazipata utapunguza tu zisizidi na kuwa na muonekano mbaya ila kuisha completely ni ngumu kweli kwahiyo utaniacha zikianza tumboni baada ya kuwa mjamzito?
 
huwa nikiiona appetite inakata
Watu mmezoea kuona visigino vilivyopasuka kwa kukesha mashambani, visigino vinavyochana shuka lazma uone ajabu hito michirizi ya utamu. Fanyeni haraka safari ya dodoma mji dar waachieni wenyewe
 
michirizi ni ishara ya kuwa amejaa protein na vitamin za kutosha na mafuta mafuta anatakiwa akamuliwe vyote hivo
 
Wakuu polen na mishe.

Nina swali hapa wakuu.

Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao au nyege?

Stretch-lines-on-knees-and-behind-knees.jpg

Shetani awe nawe daima milele mpaka kaburimi
 
Hakuna kitu kigumu kudeal nacho Kama stretch Mark ukishazipata utapunguza tu zisizidi na kuwa na muonekano mbaya ila kuisha completely ni ngumu kweli kwahiyo utaniacha zikianza tumboni baada ya kuwa mjamzito?

Kuacha? Laahasha! Wife alikuwa nayo wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua. Baaadaye ilipungua kabisa kiasi kwamba kama imepotea kabisa. Huwezi kuacha mke kisa michirizi labda mtu kama hajui mke ni nini.
 
Ulivosema inakukera ukiiona ikabidi nkuulize hivo
 
Back
Top Bottom