Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Ngozi imejistreanch baada ya kuongezeka unene,so inaacha alama hiyo ya streanchmark
 
Hakuna kitu kigumu kudeal nacho Kama stretch Mark ukishazipata utapunguza tu zisizidi na kuwa na muonekano mbaya ila kuisha completely ni ngumu kweli kwahiyo utaniacha zikianza tumboni baada ya kuwa mjamzito?
 
huwa nikiiona appetite inakata
Watu mmezoea kuona visigino vilivyopasuka kwa kukesha mashambani, visigino vinavyochana shuka lazma uone ajabu hito michirizi ya utamu. Fanyeni haraka safari ya dodoma mji dar waachieni wenyewe
 
michirizi ni ishara ya kuwa amejaa protein na vitamin za kutosha na mafuta mafuta anatakiwa akamuliwe vyote hivo
 
Hakuna kitu kigumu kudeal nacho Kama stretch Mark ukishazipata utapunguza tu zisizidi na kuwa na muonekano mbaya ila kuisha completely ni ngumu kweli kwahiyo utaniacha zikianza tumboni baada ya kuwa mjamzito?

Kuacha? Laahasha! Wife alikuwa nayo wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua. Baaadaye ilipungua kabisa kiasi kwamba kama imepotea kabisa. Huwezi kuacha mke kisa michirizi labda mtu kama hajui mke ni nini.
 
Ulivosema inakukera ukiiona ikabidi nkuulize hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…