Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Hii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
Sh.ngapi hiyo mdau
 
Mi naipenda ile mbaya hususani iliyopo kwenye matiti na mapajani. Nikiiona tu mzee wa ruksa anasimama wima
 
Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
 
Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
Ni michirizi ya badiliko la mwili eneo hilo, mfano: eidha alikuwa mnene akawa mwembamba au alikuwa mwembamba akawa mnene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…