uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Sh.ngapi hiyo mdauHii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh.ngapi hiyo mdauHii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
Yeeeah aya ni the best..... Kama akikosa anunue hata ya nazi yanaondoaTumia 'Parachutè'
Ukiona michirizi ujue kitu natural hicho.Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
Ni mabadiliko ya mwili, inakukera au?Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
Utakuwa umeona krimu wewe! PoleInakera kinoma pia inatia kichefuchefu
Hakuna aiseeHivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
[emoji106]kwa Kiinglilishi inaitwa 'stretch marks', kama jina linavyojieleza inasababishwa na ngozi kutanuka kwa mimba au unene.
Kuna wengne morali ya kugegeda inakata kabisa ukioona..utafiri ramani ya AntananarivoUtakuwa umeona krimu wewe! Pole
Ni michirizi ya badiliko la mwili eneo hilo, mfano: eidha alikuwa mnene akawa mwembamba au alikuwa mwembamba akawa mnene.Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!